Magari aina ya BMW na Mercedez Benz huwa na matatizo gani?

View attachment 443327 View attachment 443328 Ongeeni kuhusu sijui BMW, Merc.., ila mnyama huyu hapa Nissan Fuga..., ni mtamu kuliko utamu wenyewe.
View attachment 443327

Mkuu hyo ni Infiti sio nissan
 
Mbibinho usifanishe Merc na vitu vya ajabu ajabu hivyo mbabe wa Merc ni porche panarama 2013 kuendelea kwa hizi saloon car hata mwenye mapenzi ya Merc akitumia porche panarama kwenye uchaguzi atachukua panarama na sio infinity sijui...
 
Labda hujaangalia vizuri tu. Sasa hivi VW ni nyingi sana, moja ya sababu spares zake zipo nyingi na bei sio juu sana kulinganisha na bmw/merc.

Ukiniuliza ununue gari gani ya Euro nitakwambia VW yoyote ile. Popular model bongo ni Touareg,touran,golf,polo.
Nasikia vw check engine inawaka muda wote
 
Nasikia vw check engine inawaka muda wote
Engine management warning light inakutaarifu hitilafu kwenye engine. Usiporekebisha itawaka mpaka siku ya mwisho wa gari.

Sasa mafundi wenu wabovu wanachukua mashine na kuizima lakini itawaka tena baada ya muda kwasabsbu tatizo halijatatuliwa. Dawa yake tafuta tatizo lirekebishe utaona inazimika yenyewe au una reset inazimika.
 
Niliwahi kujaribu kutafuta sababu ya kwanin magari ya Marcedes Benz yanakuwa expensive sana nikapata sababu kwamba asilimia kubwa ya gari zao wanatengeneza wenyewe ikianzia na spare parts, outsourcing ni ndogo sana. Na hizo parts zinatengenezwa ujerumani.
Na gari zinazotengenezwa ni aina moja hawana option ya cheaper version. Gari unayoendesha wewe Tanzania ni sawa na anayoiendesha mtu wa Mexico au Jakarta.
 
Mbibinho usifanishe Merc na vitu vya ajabu ajabu hivyo mbabe wa Merc ni porche panarama 2013 kuendelea kwa hizi saloon car hata mwenye mapenzi ya Merc akitumia porche panarama kwenye uchaguzi atachukua panarama na sio infinity sijui...
Nimeicheki hiyo porsche panamera nmeona ni gari moja MATATA SANA, esp ile yenye twin turbo V8 engine, ina tech ya cylinder deactivation control yani ngoma kama unamatumizi ya kawaida cylinder 4 zinakuwa hazifanyi kazi kusave mafuta ila ukiamua kulifungua na cylinder nyingine zinaamka kufanya kazi na kupata maximum power, yani kama vile simba aliyelala ukimshika mkia tu KESI. Sema pesa tu inagomba lakini hii mashine nzuri sana kama huna pesa za mawazo.
 
Volvo ipo poa sana, haswa XC90 yenye 4.4l, V8. Ngoja tuzisake muraaa. Hii ipo for sale parkers.co.uk

Kama Hiyo nimeikuta inauzwa Dola 2100 beforward nikaona ngoja niifanyie Michakato niongeze Foleni kwny Parking yangu nikidhan Pamoja na Vurugu za Bandari na TRA naweza imiliki kwenda kwny Calculator ya TRA nakuta gharama zao peke yake ni 15.6M nikagundua kuwa Dr. Pombe kweli kapania kupunguza foleni acha niendelee kukatunza haka ka Toyota Premio changu Kama roho!
 
BJBM hiyo porsche ni gari mkuu ikiwa scraper inauzwa iliyogongwa inagombaniwa ukinunua hiyo iliyopata ajali unapewa Merc 2010 na BMW anaconda 2010 kwa pamoja huju porsche ikiwa bado mbovu hivyo hivyo wamefanya utundu mwingi sana kwenye hiyo gari mkuu.
 
Hayo ni magari ya kifahari.

Kwa hiyo bei pamoja na gharama za matunzo ni kubwa.

Sijawahi kuona gharama za kubadili oil za BMW zilizo chini ya dola 50 za Kimarekani.
Mtoa swali ameuliza swali akilenga Tanzania ,Kwani Tanzania siku hizi Tshs aitumiki tena jamani mpaka gharama ziwe kwenye malipo ya fedha za kigeni kama USD ??????
 
@Isanga,Ndugu yangu kuagiza si gharama,tatizo bandari,Pale Kuna kodi mpya ya reli ya kati,hii gari ni ya 2012.

Nlilipia CIF plus kodi za bandari almost 28 Mil.
Weka comprehensive insurance ,Ila ipo poa sana.
 
Back
Top Bottom