Rais Magufuli umetufikisha hapa...

Jelavic

Senior Member
Dec 28, 2016
180
380
Mwanangu utamaliza chuo baada ya miaka 25......

Jumla ya ada yako ni tsh milion 16,800,000/= .

Tanzania itakupa Mshahara laki Tsh.700,000/= .... kwa degree yako....ila toa asilimia 10% Nssf (70,000/=)...kodi asilimia 9% (63,000/=)...Helsb asilimia 15% (105,000/=)...NHIF asilimia 3% (21,000/=)...utabakiwa na laki Tsh.441,000/=.....toa nauli kwa mwezi Tsh 90,000/=..toa chakula cha mchana Tsh.90,000/=..toa pango Tsh.100,000/=...toa chakula cha nyumbani elfu Tsh.90,000/= toa gharama za kiwi na doby + nguo za ofisi Tsh. 30,000/=.......utabakiwa. na elfu "Tsh. 41,000/=".. .Aya jitahidi Mwanangu shule njema angalia usigongwe na magari!
 
Tunapaswa kuwafikirisha watoto wetu nje ya AJIRA wakiwa bado wadogo.
Leo Unampangia Miaka 25 ijayo mwanao aje aajiliwe alipwe Laki saba?
Wakati unaweza kumpandia shamba la miti kwa shilingi kama hata millioni tatu miaka 10 sio 25 unayopanga akawa ni Millionea.

Wazazi mtutendee haki acheni siasa.
 
Kwani umeanza kukatwa awamu hii hayo makato? Kuhusu ongezeko la HELSB sio milele ukimaliza mkopo utarudi kweny mshahara wako ule ule na utasahau!
 
Mwanangu utamaliza chuo baada ya miaka 25......

Jumla ya ada yako ni tsh milion 16,800,000/= .

Tanzania itakupa Mshahara laki Tsh.700,000/= .... kwa degree yako....ila toa asilimia 10% Nssf (70,000/=)...kodi asilimia 9% (63,000/=)...Helsb asilimia 15% (105,000/=)...NHIF asilimia 3% (21,000/=)...utabakiwa na laki Tsh.441,000/=.....toa nauli kwa mwezi Tsh 90,000/=..toa chakula cha mchana Tsh.90,000/=..toa pango Tsh.100,000/=...toa chakula cha nyumbani elfu Tsh.90,000/= toa gharama za kiwi na doby + nguo za ofisi Tsh. 30,000/=.......utabakiwa. na elfu "Tsh. 41,000/=".. .Aya jitahidi Mwanangu shule njema angalia usigongwe na magari!
MSHARAHA HUO KODI YA P.A.Y.E NI 21%
 
Acha kulalamika huku. Fungua mradi binafsi. Unaona serikali ndo chanzo cha utajili?

Serikali inakufanya usife tu ndugu yangu.
Mwanangu utamaliza chuo baada ya miaka 25......

Jumla ya ada yako ni tsh milion 16,800,000/= .

Tanzania itakupa Mshahara laki Tsh.700,000/= .... kwa degree yako....ila toa asilimia 10% Nssf (70,000/=)...kodi asilimia 9% (63,000/=)...Helsb asilimia 15% (105,000/=)...NHIF asilimia 3% (21,000/=)...utabakiwa na laki Tsh.441,000/=.....toa nauli kwa mwezi Tsh 90,000/=..toa chakula cha mchana Tsh.90,000/=..toa pango Tsh.100,000/=...toa chakula cha nyumbani elfu Tsh.90,000/= toa gharama za kiwi na doby + nguo za ofisi Tsh. 30,000/=.......utabakiwa. na elfu "Tsh. 41,000/=".. .Aya jitahidi Mwanangu shule njema angalia usigongwe na magari!
 
Mwanangu utamaliza chuo baada ya miaka 25......

Jumla ya ada yako ni tsh milion 16,800,000/= .

Tanzania itakupa Mshahara laki Tsh.700,000/= .... kwa degree yako....ila toa asilimia 10% Nssf (70,000/=)...kodi asilimia 9% (63,000/=)...Helsb asilimia 15% (105,000/=)...NHIF asilimia 3% (21,000/=)...utabakiwa na laki Tsh.441,000/=.....toa nauli kwa mwezi Tsh 90,000/=..toa chakula cha mchana Tsh.90,000/=..toa pango Tsh.100,000/=...toa chakula cha nyumbani elfu Tsh.90,000/= toa gharama za kiwi na doby + nguo za ofisi Tsh. 30,000/=.......utabakiwa. na elfu "Tsh. 41,000/=".. .Aya jitahidi Mwanangu shule njema angalia usigongwe na magari!
Hesabu yako ni nzuri ila siyo halisia sana.... huyo mtoto baada ya miaka hiyo 25, laki 7 ya leo itakuwa labda laki 3
 
Njaa ikiingia kwenye ubongo inaua kabisa. Fanya kazi na andaa maisha ya mwanao. Akili ya zamani ndo inapanga serikali imwajiri mtoto wake miaka 25 ijayo.

Kama huna uwezo wa kulea, uzae kabisa.
Halafu watanzania hawaoni haya yoye mauaji ya raia, huu ni uuaji, huyu ni muuaji kuliko hitler, idd amin
 
ndio nini kuandika mfano "laki TShs 700,000/=" au unapoandika "laki TShs 441,000/="??
 
Mwanangu utamaliza chuo baada ya miaka 25......

Jumla ya ada yako ni tsh milion 16,800,000/= .

Tanzania itakupa Mshahara laki Tsh.700,000/= .... kwa degree yako....ila toa asilimia 10% Nssf (70,000/=)...kodi asilimia 9% (63,000/=)...Helsb asilimia 15% (105,000/=)...NHIF asilimia 3% (21,000/=)...utabakiwa na laki Tsh.441,000/=.....toa nauli kwa mwezi Tsh 90,000/=..toa chakula cha mchana Tsh.90,000/=..toa pango Tsh.100,000/=...toa chakula cha nyumbani elfu Tsh.90,000/= toa gharama za kiwi na doby + nguo za ofisi Tsh. 30,000/=.......utabakiwa. na elfu "Tsh. 41,000/=".. .Aya jitahidi Mwanangu shule njema angalia usigongwe na magari!
usimpotoshe na kumuharibia Future mwanao ndugu
A good man leaves an inheritance to his children's children,
Prov 13:12
 
Njaa ikiingia kwenye ubongo inaua kabisa. Fanya kazi na andaa maisha ya mwanao. Akili ya zamani ndo inapanga serikali imwajiri mtoto wake miaka 25 ijayo.

Kama huna uwezo wa kulea, uzae kabisa.
Njaa iliimeingia kwenye ubongo wa mama yako aliyezaa takataka kama wewe, takataka kama wewe yalikuwa yananyongwa gizani pindi yanapozaliwa maana walikuwa na ujuzi wa kutabiri hili litakuwa jitu gani
 
Tufanye kazi, na kuandaa mazingira ya vijana wetu wa baadae.Kama unamuandalia mwanao miti kuanzia mwaka huu, after 10 to 12 years utaongea mengine.
 
Chukulia chekechea wewe unampandia miti anakuwa nayo, akifikisha muda wa kwenda chuo huna hata sababu ya kwenda Heslb kuomba mkopo
 
Nilianza kazi ya kufundisha shule za msingi 1996 Julai!Nakumbuka waziri mkuu alikuwa Sumaye alitoka mbele ya vyombo habari akashauri kwa kuwa serikali kuu haina fedha za ajira mpya(1996/97) halmashari ziwape japo posho hao walimu wapya!Nakumbuka nilikuwa nalipwa tsh20000/- na ilinitosha.Mwaka uliofuata nikaingizwa kwenye payroll za serikali tangu hapo sikuwahi kunyimwa 'annual increament' hadi 2016/17!sikuwahi kulipwa mshahara pasi kupatikana salary slip hadi 2016/17 kwa Mara ya mwisho nimefika kwenye ofisi ya mkurugenzi mwezi February 2017 nipate japo hati yangu ya mshahara nikaambiwa hazijatoka.Nawashauri wazazi na vijana someni mwongeze maarifa nyakati zimebadilika fikiria kujiajiri kama unategemea kuajiriwa siyi vibaya jiandae kisaikolojia kuishi maisha ya matakwa mwajiri wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom