fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
- Thread starter
- #21
Nje ya Sumaye, basi kweli wakati umefika DR. Slaa na wenzake waendeshe nchi, ni kama tu pale 61 ambapo nyerere na wenzake walipewa nchi, tuwape CDM.
CCM wote wameoza, ambaye anataka uongozi kupitia CCM am-challenge Kikwete maovu yake hadharani, tujue kama kweli yeye anaubavu sio kutegemea kubebwa na mbeleko. Wote wameoza I mean unawezaje ku-support serikali ya rais dhaifu na bado unakubali kutumiwa kama toilet paper wakati walipa kodi wa nchi hii wanateketea? Tulikuwa na kina Mkwawa, Mirambo na watemi wengi kadhaa ambao hawakukubali kuchukuliwa utumwa raia wao. Ukipitia historia utaona wakwere walikuwa very week na wakachukuliwa utumwa bila lamulamu lolote, sasa kama unaona huwezi kuwakabili watu ambao ni week naturally unaweza kweli kuliongoza hili taifa? Ndio sababu huyu kilaza nchi imemshinda kwa sababu ni jadi yake ati!
Mbuzi ndizi! Kwanini wote watokee Northern circuit?
Ukiangalia mafanikio ya Kikwete na ya Mkapa kuhusu uchumiunaangalia chini kilindini na kasha juu kileleni au mbinguni. Serikali ya JKimefeli simple, imefeli kabisa kama ni sekondari imepata division zero, wakatiserikali ya Mzee Mkapa ilipata Division ONE, huenda sio pointi 7 kwa olevellakini ni ONE ya nguvu;
SUMAYE waziri mkuu mstaafu ikiwezekana ndo achukue mikobabased on history ainue uchumi kutoka mfumko wa bei 19.2% hadi 4% kamailivyokuwa wakati mkapa anasaliti nchi na kumpa mkataliwa wa Nyerere nchi,SUMAYE ndo anajua mkapa na yeye walifanya nini, tusifanye chuki na wivu tu,vile mkapa hawezi kurudi ni bora sasa PM wake achukue kazi hiyo.
MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI NA SIFA ZAKE MPENI, mtukanyongwa bila kulia hata kufumba macho basi semeni jamaa alikuwa makakamavuhata kama ndo kisha nyungwa na kufa, usilazimishe eti alikuwa mwoga hapana,SUMAYE SASA OKOA TAIFA. Kupitia chama gani hiyo sio hoja.