Recent content by Eddy ruta

  1. Eddy ruta

    JamiiForums Tanzania Wakuu Kwema;nikiwa na milioni 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi maeneo ya Bagamoyo?

    M nimejenga mil 20 utatoboa kwa nyumba ya kawaida sana kama 2bedroom lkn tofauti na hapo tafuta hela kijana
  2. Eddy ruta

    JamiiForums Tanzania Bei ya mahindi Handeni zinashangaza

    Zao la biashara kwa huku labda katani(mkonge) tatizo mtaji sasa
  3. Eddy ruta

    JamiiForums Tanzania Bei ya mahindi Handeni zinashangaza

    Wakuu nimeamini sisi wakulima wadogo wadogo hatutokaa tupate utajiri kupitia kilimo kamwe, Nimeshangaa bei za mahindi kwa huku Handeni mpaka sahivi eti gunia ni 35000 ukizingatia mahindi ya mwaka yanaiva kwahiyo mpaka kufikia mwezi wa 6 mwishoni mpaka wa saba watu watakuwa wanavuna. Sasa je...
  4. Eddy ruta

    JamiiForums Tanzania Je, milioni 37, itamaliza katika mjengo wa aina hii?

    Kaka tafuta hela
  5. Eddy ruta

    JamiiForums Tanzania Cassius Clay 1964

    Asante
  6. Eddy ruta

    JamiiForums Tanzania Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

    Dini ni utamaduni wa jamii fulani tu...... Hivyo hakuna dini sahihi duniani sababu kila jamii ina tamaduni zao....... Sisi waafrika ndo wajinga sababu tulipokea tamaduni za watu tukaacha tamaduni zetu.....ujinga.... Uislam ni tamaduni za waarabu....... Ukristu ni tamaduni za wazungu...
  7. Eddy ruta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kimeeleweka Dulla Mbabe vs Twaha Kiduku 2

    Kiduku kama kiduku ila siyo wa korea kusini Jamaa anapiga kama anaua
  8. Eddy ruta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikubaliani na kauli za Kibaguzi za kisiasa za MO.

    Ni wivu tu
  9. Eddy ruta

    JamiiForums Tanzania Askari anayesimama stendi ya Segerea mwisho akiwa na sare kama za Uhamiaji kazi yake ni nini pale?

    Kafanya nini kaka Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Eddy ruta

    JamiiForums Tanzania Kuwalaumu Acacia ulikuwa ni unafiki tu,wote ni wale wale

    [emoji3][emoji3][emoji3]
  11. Eddy ruta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UEFA mna chuki binafsi na Man United

    We Jamaa kiazi kweli yan Au we dem
  12. Eddy ruta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanasoka wanaopewa kick sana kuliko uwezo wao

    Mm nimekubali hapo kwa benzema yani Jamaa ni mzigo sana anazidiwa na reloy sane wa man city
  13. Eddy ruta

    JamiiForums Tanzania Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

    VP kuhusu alteza
  14. Eddy ruta

    JamiiForums Tanzania Kazi unayoifanya uliipanga tangu utoto?

    Mm nilitaman kuwa rubani lakini Leo ni Dereva Bodaboda ila siyo mbaya vyote vimeshabihiana eti eeh
Back
Top Bottom