Recent content by Eddy GEng

  1. E

    Rais amesaini sheria mpya ya mafao ya nssf bila kujadiliwa bungeni??

    hiyo imekula kwetu...huo ni mpango wa kukusanya pesa za uchaguzi 2015,Nyiyiemu ina hali mbaya ,sasa wanaanza kukusanya mapema,wafanyakazi tuamke sasa.
  2. E

    PICHA: CHADEMA walivyoisambaratisha Ngome ya Magufuli CHATO

    hiyo ni ya vijana...na co JW
  3. E

    Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

    mbona mkwele ana GPA 2.1 gentle...na udoctor wake wa kupewa
  4. E

    Baraza la mawaziri la mseto ni dawa au mbinu za kisiasa?

    katiba hipi hiyo?....kuwa makini kijana
  5. E

    Wawekezaji wanalipa tsh 200 kwa mwaka

    1:wanaweza kukodi...hao wawekezaji ni jina tu wenye mashamba ni wakinamagh....mbeeee 2:Haoni maana ikiona watashindwa kupeana dili za kusupply sukari 3:uko sawa kabisa
  6. E

    Katibu mwenezi wa CCM Longido ajivua gamba

    Ni kweli kabisa...amejivua na amehamia CDM....imeoneshwa na ITV ktk kipindi ya Habari zilizotufikia...Lakini na washauri waCDM kuwa na makini sana na hawa jamaa wanakuja na watakaoendelea kuja tena kwa speed...maana inawezekana ni janja ya wanamagamba kuujumu CDM...Nawasilisha
  7. E

    Utabiri wa wazee hawa unaanza kutimia, CCM ya Kikwete ikawaangukie mapema!

    :A S angel:Ndugu unaundungu na Mh:Jiwe linaloishi(Livingstone)nn?maana hiyo kauli uliyoitoa,mmh!
  8. E

    Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

    Habari hii imerekodiwa toka Kipindi cha Mchana huu cha TBC Taifa
  9. E

    Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

    pia Mh Mbowe aliwahi kugombea urais....mi naona anaweza kugombea,hakuna sheria inayozuia
  10. E

    Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

    :lol:safi sana madaktari.....bigup!,endelezeni mgomo,imekuwa ni kawaida kwa hii serikali ya Tanzania kufanya mabadiliko kwa kushindikizwa,by the way pia unadhalau sana fani za watu,wkt shule yenyewe inabana...c sawa kabisa daktari kulipwa 700,000/=hiki ni kipimo pia kuona serikali unawajali vp...
  11. E

    Electrical engineers-7 posts

    JOB PURPOSE Reporting to a Principal Engineer/Senior Engineer, you will be responsible for assisting in planning and administering all operations in regard to network extensions, maintenance, repair and rehabilitations of networks and equipments in order to have quality operations of the...
  12. E

    Shamba linauzwa

    kuna miti ya miembe..jaribu kuwasiliana na jamaa atakupa detail zote za msingi unazohitaji
  13. E

    Shamba linauzwa

    Jamaa kaamua tu kuuza,..cunajua mtu chake
  14. E

    Shamba linauzwa

    hakuna mafuriko mkuu...kitu tambalale
  15. E

    Shamba linauzwa

    Habari zenu binafsi wadau! Kuna shamba linauzwa,liko Kibaha kwa Matius njia ya kwenda kwa Dr Bayi lina ukubwa wa ekari 1.5 bei yake ni million 3 na nusu kwa mawasiliano zaidi...mpigie MR SUNDAY -0712 498 825 huyu ndiye mmiliki wa eneo hilo.
Back
Top Bottom