Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

CV hiyo inatosha kabisa, cha muhimu uadilifu na uzalendo.Wazee wetu waliotupatia uhuru walifanya mengi yenye manufaa na tija kwa wananchi wa kawaida.
 
huna lolote, tutolee mapovu yako hapa. Mshipa umekutoka kama beberu. Kwa taarifa yako mimi sijatumwa ila nimetoa facts jamvini ili tumpime kiongozi wetu kama huna hoja fyata mkia then sepa.

mbona hujibu ulichoulizwa??na ww weka CV zako tuone.
 
umepotoka huyo ni kichwa ana masters na uache uvivu kasome kwenye website ya bunge usome cv yote
 
Sasa ndio naona kwa nn Mbowe huropoka sana majukwaani, kumbe shule ni ndogo na uwezo wakufikiri nao mdogo pia, duh cdm na mwaka 2010 kwenye uchaguzi mkuu walituletea mgombea mwenza wa Slaa wa darasa la saba. Viongozi wenye elimu cdm ni wachache sana sana



Wacha uzoba wewe, Kumbe wewe ndio hauna Akili, yani unaweza ukafikiria na ukakubali kua hiyo ni CV iliyo kamilika........yan mtu ukishakua Gamba mpaka akili inakutoka poleni sana kwa ufinyu wenu wa mawazo na akili za kitoto.

Embu wekeni mada zenye maana....


M4C forever.........
 
Huyu mleta thread kamaliza form 4 na alipata '0' ktk shule moja ya kata, hata neno CV amelisikia tu hata hajui kirefu chake. Aisee ni (Curriculum Vitae) na CV ya mtu haihusiani na maswala ya uongoz kabisa kama ingekuwa hivyo 85% ya wabunge wasingekuwa mle ndani, hata JK asingekuwa Rais wa hii nchi kama tungeangalia vigezo vya CV yake' kwa kuwa asingeweza kushindana na wote aliokwisha ingia nao kwenye kinyang'anyiro cha urais kama, Prof:Lipumba, Dr.Slaa, Mutamwegwa na wote aliokwisha kugombea nao nafasi ya Uraisi hamna hata mmoja anayemkuta kwa kiwango cha elimu, kwahiyo haya mambo tuyaache tu tukitaka kuyachambua tutaibua mengi na wala hayahusiani na uwezo wa kuongoza.
 
hapo hakuna elimu na shauri cdm watafute mtu wa kuwa mgombea urais 2015 kwa huyo kilaza cdm kitaboa sana....Dr Slaa nae huyo kazeeka...labda aingie Mh Zitto...naomba tuache ushabiki usio na tija kama mtu hana uwezo tuwe wazi...mbowe ni kilaza ilo halina ubishi.
HAKUNA KUUMA MANENO HAPA
 
Kweli kabisa kama ndo urais unatafutwa hata na huyo labda labda awepo rais wa ndani ya nchi na rais mwingine wa nje ya nchi atakayekuwa anakutana na marais wenzake duniani maana ikiwasilishwa CV yake kwao kichwefuchefu lazima
mbona mkwele ana GPA 2.1 gentle...na udoctor wake wa kupewa
 
CV YA UKWELI HII HAPA

Education and Work
Grad
School: Makerere University '78
College: University of Miami '80

College: St. John's University of Tanzania
High
School: Makongo Secondary School
'75
Company: Wananchi wa Tanzania
(Jimbo la Hai)

Position: Kiongozi wa Kambi rasmi ya
upinzani bungeni katika bunge la Tanzania.
Time
Period: November 2010 to present
 
hapo hakuna elimu na shauri cdm watafute mtu wa kuwa mgombea urais 2015 kwa huyo kilaza cdm kitaboa sana....Dr Slaa nae huyo kazeeka...labda aingie Mh Zitto...naomba tuache ushabiki usio na tija kama mtu hana uwezo tuwe wazi...mbowe ni kilaza ilo halina ubishi.
HAKUNA KUUMA MANENO HAPA
CV YA UKWELI HII HAPA funga domo

Education and Work
Grad
School: Makerere University '78
College: University of Miami '80

College: St. John's University of Tanzania
High
School: Makongo Secondary School
'75
Company: Wananchi wa Tanzania
(Jimbo la Hai)

Position: Kiongozi wa Kambi rasmi ya
upinzani bungeni katika bunge la Tanzania.
Time
Period: November 2010 to present
 
Mimi nina Masters mbili za sheria, lakini hata nikiziweka jamvini zitakusaidia nini, mimi siyo mwanasiasa ila kuweka ya Mkulu wa CDM ni muhimu kwani ni kiongozi wa watanzania wengi tu.

ungekuwa na master mbili usinge weka ujinga huu ndio maana tuna wanasheria waajabu Tanzania hawana hata msaada kama wewe ni mimaster yako ya madesa
 
jamaa wanahangaika kuanika kila wanchoona kitawasaidia kupunguza movement for change .kwa upeo wangu sioni kama watafanikiwa .kwani wazalendo wamebaki wachache na hao wachache hawasikiki wanajaribu kuvamia majukwaa kama haya angalau waonekane wanafanya kazi .hata hapa jf sioni ni kitu gani wanafanya mmojawapo ni huyu aliyeleta cv hapa ya mh.mbowe
 
Mimi nina Masters mbili za sheria, lakini hata nikiziweka jamvini zitakusaidia nini, mimi siyo mwanasiasa ila kuweka ya Mkulu wa CDM ni muhimu kwani ni kiongozi wa watanzania wengi tu.

Busara na hekima ni sifa nzuri kwa Mwanasiasa...!
 
Tuwekeeni cv ya mbunge wa ccm wa njombe mashariki yani mh DEO SANGA,hapa ndio mtajua cdm ina wasomi zaidi ya mambumbumbu magamba..PLS TUWEKEE ILI TUONE NAMNA HOJA ZINAVOPITISHWA NA WENGI MBUMBUMBU NA KUKATALIWA NA WASOMI WACHACHE,ELIMU INAMATA SANA DUNIA YA LEO:israel:
 
jf imekuwa sehemu kila mwenye hoja dhaifu huja nazo hebu tunye na hoja za msingi unaweza ukawa na cv nzuri ukashindwa kuongoza suala ni utashi na uwezo kucmamia hoja
 
Kama mnaamini kuwa uongozi ni vyeti au kupata GPA ya 5 basi mtakufa mnajadili hizo GPA na vyeti vya viongozi wenu. You better change your point of view guys.
 
mchillo kama kweli umesoma unamjua rais wa madagaska na cv yake? Pamoja na kupendwa kote na wananchi?
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa kama ndo urais unatafutwa hata na huyo labda labda awepo rais wa ndani ya nchi na rais mwingine wa nje ya nchi atakayekuwa anakutana na marais wenzake duniani maana ikiwasilishwa CV yake kwao kichwefuchefu lazima

Andaa mdahalo baina ya Mbowe na JK tuone ni nani atalalamika kesho yake kwenye vyombo vya ola kuwa ameambiwa ukweli unaouma (a.k.a. amekashifiwa)! Nani kakwambia JK kila anapokwenda huko anakoenda kila mwezi mara mbili anatanguliza CV yake kwanza?
 
hahaha1 jamani! mbona huwa mnawekaga cv za vilaza wa chama tawala! mbona wakiweka cv za vilaza wa upinzani mnakuja juu sana! jamani humu ndo jamvini! funika kombe.....! hii inaonyesha hata huyu muheshimiwa alibebwa tu!
 
Back
Top Bottom