Recent content by ebabah

  1. ebabah

    Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

    Mwalimu Ndomba, Parangu Primary School 1995 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ebabah

    Tetesi: Wanafunzi Junior Seminary Morogoro kujipikia Mikate

    Wapendwa nimepata story kutoka Junior Seminary Morogoro wamevunja mkataba na mzabuni aliyekuwa na tender ya Ku supply mikate (burge) kwa ajili ya wanafunzi na kuamua kutumia wanafunzi kujipikia mikate hiyo kitu kinachopelekea wanafunzi wengine kukosa baadhi ya vipindi kwa ajili ya suala hilo...
  3. ebabah

    Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Vp kwa wanaosomeshwa private schools kwa msaada kama yule mtoto aliyezuia shamba lisiuzwe kule Kagera?
  4. ebabah

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimeandikiwa invoice ya Tsh 2500000 kuunganishiwa umeme. Je, Naweza nikalipa kiasi nikaunganishiwa umeme halafu nikamalizia deni au ni hadi nilipie pesa zote ndo nipate huduma?
  5. ebabah

    Nissan xtrail inanitesa.

    Achana na mafundi wa vichochoroni wapelekee Nissan wenyewe na utalipenda gari lako.
  6. ebabah

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Hii vp imeshauzwa? Kama bado nichech tufanye biashara
  7. ebabah

    Kwanini Watumishi wengi wa Serikali ni walevi sana kuliko wa Taasisi Binafsi licha ya kuwa na vimishahara kiduchu?

    Unazungumzia kule ambako hata mdogo wako anaenda kubembeleza nafasi ya kazi au wapi?
  8. ebabah

    Aliyeshauri ofisi za mabasi ya mwendokasi (UDART) zijengwe Jangwani akamatwe mara moja

    Ndalilo, Una level gani ya utaalamu kwenye mambo ya ujenzi? Pendekeza ambapo kwako pangefaa uje na sababu 5 za pendekezo lako.
  9. ebabah

    Pikipiki za honda zinauzwa

    Hii inauzwaje?
  10. ebabah

    St. Augustine university of Tanzania

    Huu ujinga cjui mtaacha lini. Unakata kujisifu matokeo ya kwenye karatasi wakati maisha halisi umefeli. Unajisifu umesoma wakati bado umepanga chumba kimoja kwenye nyumba ya mtu wa std 7, unaenda unakoita kazini gari unapanda la std 7, unalialia mshahara mdogo ukifulia unaenda kukopa bidhaa...
  11. ebabah

    Kutengua barua ya uchumba

    Unadhani ni sahihi kuuumiza nafsi yangu for the rest of my life sababu tu tumezaa? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. ebabah

    Kutengua barua ya uchumba

    Umri ni miaka 30 wake 24. 1. Nilimpenda kwa hisia kabisaaa but sasa imekuwa tuko kwa mazoea tu ule msukumo wa mapenzi kutoka ndani umekata kabisa. 2.Naweza sema vimepungua cse mahitaji na nyakati haviko sambamba. Matarajio yangu kwake ni kama hayapo maana ujuavyo mke au mume anatakiwa kuwa...
Back
Top Bottom