St. Augustine university of Tanzania

St. Augustine university of Tanzania

Nenda Tia uone mziki wake habebwi mtu. Wanakaza mitihani kufa mtu. Unaweza bebwa cw lakini final ikakuumbua ukasup.
Kwa ubora wa elimu kuhusu masuala ya account Tia na Ifm ndiyo suluhisho kwingine mbwembwe tu.
Elimu udsm, sheria mzumbe, account tia na ifm. Kila chuo kina specialize zake.
Sasa saut na account wapi na wapi, ukimkuta mzuri aliyepo saut ujue foundation kaanzia ifm or tia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Wa AZAM mwenyewe anawasikiliza Tu cheti chake cha elimu ya juu kasomea Amazon utalii na kwenye mijadala ya vikundi alikuwaga anasinzia Tu. SAA hizi ametangaza kazi za mameneja Wa uuzaji mikate ya bofulo. Sifa uwe na GPA ya 3.4 nakuendelea ya udsm na uwe na CPA. Mshahara mnono.Hapa huenda mtoa mada ukalamba ajira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa uzi ametamba sana, watoto wake hawatadoma Saut, ameponda sana waliosoma Saut na matusi juu ! Angalia, unaweza kuwapeleka hao watoto Vyuo bora unavyofikiria na wasiperform wakaishia kuwa Malaya na mashoga, wabwia unga ! Muhimu omba Mungu sana !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa msiojua, hivi ni vita baina ya vyuo kwa ajili ya kugombea wanafunzi wanaotarajia kuanza masomo mwaka huu. Kwa utaratibu wa mwaka huu kila mwanafunzi mwenye sifa atadahiliwa na vyuo zaidi ya vitatu halafu itabidi athibitishe kuchagua kimoja kati ya vyote vilivyomdahili. Kwa hiyo vita chafu imeshaanza mapema na ningeomba mods msiruhusu Jf kuwa jukwaa la vita hii chafu miongoni mwa vyuo. Hii taarifa ni ya uongo.
Wako watu kibao ninaowafahamu waliosoma SAUT na wanafanya vizuri sana kwenye ajira zao. Kati ya vyuo vikuu vya private SAUT ni kikongwe na kina uzoefu mkubwa sana.
 
Mm binafsi nimesoma SAUT ila kuna jamaa yangu certificate amesoma C.A saut, degree amesoma BAEC, amesoma short course ya data management muhimbili, amesoma CPA UD kafauru vzr tu. Sasa hao vilaza wenzio waulize vzr wamesoma SAUT au walikuwa wanaishi karibu na chuo cha SAUT????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hiki chuo kinafundishaga nini Jamani? Kuna jamaa wako watano tunapiga nao discussion kwa ajili ya ku sit CPA lakini jamaa ni vilaza kweli yaani wamenizidi GPA mbaliii halafu Vitu vingi vya CPA hawavijui yaani Kila Topic nawapigia hata hivyo ni shida kuelewa sasa Natambua Umuhimu wa Vyuo vya Serikali havipo kwa ajili ya Kuchukua Ada tu....Hawalegezi mtihani hawa watu.......

Mhitimu ana GPA ya 4.4 mfano Somo ambalo linaitwa Management Accounting Now kwenye CPA linaitwa Performance Management ana A lakini hakuna hata anachokiweza sasa nakua najiuliza Waalimu wa St Augustine wanafundisha maneno tuu au kwa sababu calculation zinawashinda kweli! .

Chuo Kina wanafunzi wengi sana lakini kwenye institutional performance za CPA hakipo hata top 10. ni hatari kila siku ni UD, IFM, MZUMBE, AIA,MOCU,UDOM, ARDHI TIA, ZANZIBAR STATE UNIVERSITY, Kuna kachuo ka Ushirika huko moshi kadogo ila ka kitambo Kile ndo huwa Individual prize wanachukua ndo kinachuana na UD, IFM na ARDHI . UD itaendelea kuwa baba big up to UDOM mnafanya vizuri, Mzumbe pia mnajitahidi kwenye Paper za board AIA kama kawa chuo kigumu sana IPA mnawakilisha ipasavyo, IFM mko vizuri kazeni Buti

Did I mention St. Augustine i think no room for Stupid people in CPA!

Hawa jamaa wamesababisha nikichukie hicho chuo kiasi kwamba Watoto wangu na Kizazi Changu hawatasoma hapo halafu kwenye Ma vyeti yao wamesoma Course hadi 12 yote amepata A Wakati jamaa ni vilaza mimi nimesoma course 5 hadi 6 lakini ufaulu wangu uko kwenye GPA ya 3.5 ndiyo nawafundisha hawa jamaa wenye FIRST CLASS za Kikuda.

Halafu chuo hakina Discontinuation Ukifeli unarudia mpaka maisha yako yote hiki kinanipa Jeuri kwenda kumpeleka house girl wangu akasome kwani chuo hakina changakoto kabisa!

Watoto wangu kama nataka wawe wacheza sinema za Ngono nitawapeleka St. Augustine ila kama nataka wawe wasomi nitawapeleka Vyuo vingine.
Huu ujinga cjui mtaacha lini. Unakata kujisifu matokeo ya kwenye karatasi wakati maisha halisi umefeli.

Unajisifu umesoma wakati bado umepanga chumba kimoja kwenye nyumba ya mtu wa std 7, unaenda unakoita kazini gari unapanda la std 7, unalialia mshahara mdogo ukifulia unaenda kukopa bidhaa kwenye duka la std 7, bado pia kampuni unayofanyia kazi mmiliki ni std 7.

Asa hapo kweli wewe umeenda kusoma kuongeza maarifa au kupoteza muda na kukua.

Kusoma sana Co issues, issue nzito ni kubadiii mambo uliyosoma ili yakuwezeshe kuishi kulingana na elimu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili

Akili za Wazaramo, Unafikiri Mtu ukimaliza Masomo yako Unakua na Nyumba Nani? Kwa Taarifa yako Nimesimamisha Kitu Huko Mivumoni.
 
Huu ujinga cjui mtaacha lini. Unakata kujisifu matokeo ya kwenye karatasi wakati maisha halisi umefeli.

Unajisifu umesoma wakati bado umepanga chumba kimoja kwenye nyumba ya mtu wa std 7, unaenda unakoita kazini gari unapanda la std 7, unalialia mshahara mdogo ukifulia unaenda kukopa bidhaa kwenye duka la std 7, bado pia kampuni unayofanyia kazi mmiliki ni std 7.

Asa hapo kweli wewe umeenda kusoma kuongeza maarifa au kupoteza muda na kukua.

Kusoma sana Co issues, issue nzito ni kubadiii mambo uliyosoma ili yakuwezeshe kuishi kulingana na elimu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea maudhui ya kitabu kinaitwa "why A stundents works for C stundents" by R. Kyosaki
 
Sikh zote degree haikupatii kazi bali inakupa changamoto za kuweza kutambua fursa na mambo mengine ya Kidunia ndio maana kuna mtu aliyeelimika na asiyeelimika, kuelimika sio lazima uwe na elimu ndio maana utamkuta mtu ana elimu lkn hajaelimika , think twice before post.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi hii maada inanigusa sana lakini vipo vitu ambayo si kweli kwa wachangiaji wa baadhi ya maada mimi nasoma education binafsi am very compitent in my careeer na kwa upande wangu mm watu wanaosoma economics study in saut wapo vema sana nikilingamisha na jamaa zangu wapo university zingine ko inadepend na mwanafunzi msomaji wa hiko kitu HOW MUCH YOU LOVE YOUR CARER kama ulilazimishwa unaweza ukafaulu hata kitu usichokijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasomi wa kizazi kipya bana...
Troll JF what do you have? Umeandika kama ulichosoma ndo mwisho wa dunia hakina kama wewe...

Badilika mkuu, maisha yamechane...
 
Back
Top Bottom