Recent content by Dyslexia

  1. Dyslexia

    JamiiForums Tanzania Mdada aki-behave hivi huwa ina maana gani??

    ina maana hataki uyaone matiti yake.
  2. Dyslexia

    JamiiForums Tanzania Mchele unapogeuka pumba................

    hakuna la ziada. message delivered as intended!
  3. Dyslexia

    JamiiForums Tanzania Hongera wana JamiiForums

    AMEN,most welcome!
  4. Dyslexia

    JamiiForums Tanzania Mtumia mafuta ya rays kukinga ukimwi

    wonders shall never end!
  5. Dyslexia

    JamiiForums Tanzania Njia ya uzazi.

    jibu sahihi kwa mama kwe wafitini wasiokuwa na jema!
  6. Dyslexia

    JamiiForums Tanzania Na wanaume hawapendi wanawake wa aina gani?

    bado kuna wanaume wanafikra za kitumwa!acheni umangi meza,shirikianeni na wake zenu!
  7. Dyslexia

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu.........Is it Possible??

    It is possible,since watu wanaoana kwa sababu nyingi,mwingine kwa kuwa kampa mtu mimba,wengine huruma etc,so kuna uwezekano wa kukutana na watu nje wanaoweza kuwa na true love na compatible kuliko wale waliowaoa au kuolewa nao.
  8. Dyslexia

    JamiiForums Tanzania Amekutwa na ky jelly!

    matumizi yenu ya internet ni nini?search matumizi ya KY ujue,si kila kitu lazima umwambie swiitii wako,wengine wanajisikia vibaya,ishu hapa ni kutomwambia mpenzi!kama hana jingine nashauri warudiane!
  9. Dyslexia

    JamiiForums Tanzania Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    sikujua kuwa bado tuna jamii ya watu walio na hisia za kijinga hadi leo,ni urembo toka enzi za kina cleopatra na wengineo!
  10. Dyslexia

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na kandanda

    mueleze tu,siku ukija na mihasira anakuelewa tu,mradi huumi wala kupiga utavumiliwa kwa huo usiku!
  11. Dyslexia

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri Dr. Kikwete (heshima-UDOM) naye anatamani miaka mitano iishe haraka!

    akimfikiria Dr Slaa na Tundu Lissu,lazima azeeke! ningekuwa yeye ningejiuzulu tu nikalee maelfu ya watoto wangu!
  12. Dyslexia

    JamiiForums Tanzania Kikwete kafanya mengi kipindi chake cha uongozi, tutamkumbuka...

    Tutakumbuka anavyopenda kutembea nje ya nchi,hata kukiwa na msiba nyumbani kwake!
  13. Dyslexia

    JamiiForums Tanzania Kweli waTanzania wamechoka. Nchi imemwagiwa petroli. (MWANZA)

    na bado,Mungu akiwa upande wetu hakuna kitu kinachoshindikana watanzania,tusonge mbele kwa kujiamini na kuwaunga mkono wote wanaotuonyesha njia kama Dr Slaa na wengine!
  14. Dyslexia

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wafuatao wakimbie nchi siku hiyo hiyo

    watu wanaotokwa na mapovu kwa hasira ni failures,hufai kuwa rais,unapaswa kuumia na kupanga mkakati si kutoa mapovu ya hasira,hayakupi urais hayo!
  15. Dyslexia

    JamiiForums Tanzania Nchi imemshinda na Chama chake kimemshinda; aombe wawekezaji?

    ulishakuwa daktari wake au ulimwambukiza wewe ukimwi?:A S 13:just thinking loud!
Back
Top Bottom