Mapenzi na kandanda

Biera

JF-Expert Member
Dec 7, 2010
464
78
Jaman mwenzenu ninaipenda sana timu ya arsenal kiasi kwamba 2kicheza na kufungwa namkasirikia mpnz wangu na nyumban hakukaliki...nifanyenini? Naomba kuwasilisha
 
Mhhh...Pole!
Ila mimi nafikiri mpira wa hauhitaji kuwagombanisha.. mkubaliane hakuna kuongelea masuala ya mpira nyumbani!
 
Huo ushabiki wa kizamani aisee. mchezo tu mpaka unakuwa hivyo.je ungekuwa kiongozi wa nchi si ingekuwa balaa, maana ukufungwa unaweza chapa bakora walinzi wote
 
ujinga m2pu arsenal ndio nn?wakifungwa/wakishinda ww unafaidika/unakosa nn?wachezaji/wamiliki wako kibiashara zaidi kuliko mapenzi ya club kuthibitisha hilo Simba SC 2naweza kumnunua mchezaji yeyote wa Arsenal hata kesho na akaja kuichezea SSC,itakuwa ww ambaye hujulikani na yeyote,acha muziki fanya maisha,mke kwanza halafu ujinga mwingne baadae
 
mueleze tu,siku ukija na mihasira anakuelewa tu,mradi huumi wala kupiga utavumiliwa kwa huo usiku!
 
Jaman mwenzenu ninaipenda sana timu ya arsenal kiasi kwamba 2kicheza na kufungwa namkasirikia mpnz wangu na nyumban hakukaliki...nifanyenini? Naomba kuwasilisha

Sasa unamkasirikia kwani yeye ndiye alikuwa golikipa au beki na kusababisha kufungwa kwa timu yako uipendayo? Ukishafungwa yeye ndiyo akuliwaze ili usahau machungu ya kufungwa timu yako na siyo tena nyumba kuwa haikaliki. Badilika Mkuu! usielekeze hasira za kufungwa kwa mama chanda.
 
Du, mbona majibu makali namna hii?. Inaonekana si wapenzi wa mpira nyie, fuatilieni jukwaa la michezo muone watu wakifungwa wanakuwaje. Sasa kama hapa watu hatujuani tu ni hivi unafikiri n'mbani inakuwaje, cha msingi tumshauri achukulie mpira kama burudani na si vita kwamba lazima ashinde. Awaangalie hata wachezaji timu yake, wanafungwa lakini wanapeana mikono na kukumbatiana na wapinzani wao.
 
Safi kabisa na ndio maana 2kamuambia ampende mkewe,wachezaji wanapeana mikono lkn yy anagombana na my wife wake,sasa huoni kama hilo ni kasheshe?
 
Back
Top Bottom