Recent content by Duzzu

  1. Duzzu

    JamiiForums Tanzania Mr. Blue: Mimi Ndio nilimtoa Alikiba, Bangi ilisababisha nidrop kimuziki

    Bangi ilimpoteza, na sembe inemrudisha! Safi kijana, sembe kwa maendeleo chatu wa nyandu
  2. Duzzu

    JamiiForums Tanzania Nimepata jiko

    Ndefu mnooo!
  3. Duzzu

    JamiiForums Tanzania Dully Sykes acha ubaguzi

    JoH- aah bwana mnyàma mi bila milion 3 sipafom aarif TID- we habar hizo umeztoa wapi? JOH-ni dully kanambia Aaah hizi kiki zingine maandaz kweli
  4. Duzzu

    JamiiForums Tanzania TID amlalamikia Billnass, ‘sijapenda alikuwa akinibembeleza nimsaidie ajulikane'

    Unamjua alomkutanisha huyo bíllnas na nazizi? By the way hiyo ngoma(raha) ni billnas . ft. Nazizi&T. I. D
  5. Duzzu

    JamiiForums Tanzania Picha: Mtangazaji wa Azam TV avaa hovyo Ofisini

  6. Duzzu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliniacha baada ya yeye kupata kazi, sasa nimepata Mnyarwanda anataka turudiane

    Kwa hiyo yeye alikuacha baada ya kupata mafanikio (kazi), na wewe unataka kumpotezea baada ya kupata mafanikio (demu wa kinyarwanda)?!
  7. Duzzu

    JamiiForums Tanzania Goodluck Ole Medeye aikimbia CHADEMA. Atimkia UDP

    Hahahaa! Hongera zake
  8. Duzzu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hebu tumwogope Mwenyezi Mungu Jamani! Hivi kweli ni Halali?

    hivi mlinzi alivokufungulia geti alikutaka ukawaambie hao ndugu zako, au uje kupost jf huo umbea wako?
  9. Duzzu

    JamiiForums Tanzania Hivi hili la Dstv sio jipu kweli?

    hahahahhaa! mkuu naona umeamua kumtumbua jipu!
  10. Duzzu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimempa mimba binamu yangu

    yani wewe ndo umepiga dushee halaf unatuuliza sisi kama ni ya kwako au sio!! tunajuaje? huo ujinga wako unakugharimu..au haukugharim?
  11. Duzzu

    JamiiForums Tanzania Nagharamikia video ni aibu kwa tasnia ya mziki

    na imemgharimu..au haijamgharimu?
  12. Duzzu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana wa chuo na ndoto za mchana

    hiyo post yako itakugharimu..au haitakugharimu?
  13. Duzzu

    JamiiForums Tanzania Mastar wa bongo na usanii wa siasa

    'tasnia' imekuwa nyepesi
  14. Duzzu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Ant Ezekiel

    mbona kimya tena?
  15. Duzzu

    JamiiForums Tanzania Balozi Amina S. Ally Jilaumu Mwenyewe Ila Ulikuwa Ndiyo Uwe Mgombea Mwenza Ila Uli POPOKA Jana

    Amina S. Ally na Asha Rose Migiro waliingizwa top 3 kucheza shere bila kujua nao wakalicheza vizuri kabisa bila kukosea!! Ilikua waingie tu top 3 ili kumpa Magufuli ushindi wa kishindo (zaidi ya 80%)! maCCM wanajua kwamba wameisha na mtu pekee aliebaki ambae anaaminika kw wananchi ni Magufuli...
Back
Top Bottom