Hivi hili la Dstv sio jipu kweli?

dovillenproperty

JF-Expert Member
Nov 24, 2014
3,200
2,226
Me nawaza tu mwenyewe hapa je mtumbua majipu halioni hili la dstv kuwa ni jipu linalotunyonya sisi wananchi?
Maana wanakamua hela kuliko kodi ya Nyumba kwa mwezi na Salio likikata hata chanel za nchini za kawaida nazo hazionekani
 
Acha sisi tuendelee na akina Zuku kwaani muda huu niko hapa ilomba mby kwa kaka yangu yeye amelipia mwaka mzima tena premium
 
Waongo sana hawa jamaa ni wezi jaaa south Africa wana fanya hivio hivio na huko ndiko wanako tokea sasa kodi gani hizo ambazo wao ndio wanao tozwa pekeyao??
 
This guys are quite expensive, walalahoi kama mimi kamwe hatuwezi! Wanatakiwa wadau wengine wawekeze hasa kununua rights za kuonyesha EPL..
 
This guys are quite expensive, walalahoi kama mimi kamwe hatuwezi! Wanatakiwa wadau wengine wawekeze hasa kununua rights za kuonyesha EPL..

EPL hupatikana mwenye baadhi ya channel za kiarabu !
Wewe ni kununua dish tu halafu wataalamu wanakuunganishia frequency za hizo channel.
Utahangaika na DSTV mpaka lini?
Kumbuka majipu yote yatakamuliwa!
 
Kama huwezi hama hamia startimes kingamuzi na kifurushi cha miezi miwili 30000
 
Mimi kinachonikera package inapokwisha wanakata local channels wakati sheria ya ving'amuzi nchini local channels zinatakiwa ziwe wazi muda wote raia wapate habari
 
Waongo sana hawa jamaa ni wezi jaaa south Africa wana fanya hivio hivio na huko ndiko wanako tokea sasa kodi gani hizo ambazo wao ndio wanao tozwa pekeyao??

South Africa ni rand 350 kwa iyo ya laki mbili na kumi Mkuu hapa kwetu..ni weezi tuu toka kwao 70,000 mpaka laki mbili kodi ipi iyo..
 
Tulieni rais ameshapatikana nchi ilikosa rais wakujali watu wake kama nyetere
 
Nasubiri Amri toka kwa mh.Nape .N kwa niana ya JPM kwamba wapunguze haraka sana kodi zao kama hawawezi wafunge virago.ili tupate agent mwingine wa epl
 
EPL hupatikana mwenye baadhi ya channel za kiarabu !
Wewe ni kununua dish tu halafu wataalamu wanakuunganishia frequency za hizo channel.
Utahangaika na DSTV mpaka lini?
Kumbuka majipu yote yatakamuliwa!

aisee ni kweli. nilienda zenji na mtwara naona wanakula epl kwa kiarabu. sijui kwa Dar napataje huduma hiyo
 
Vp azam?Nao pia mbona kifurushi kikiisha wanakata hadi local chanel?Nawakati sheria hairuhusu?
 
Acheni kelele zenye lengo la kuvuruga kila kitu. Kama hamuwezi msilipie. Hao watatathmini hali ya soko na kuamua aidha kufunga virango au kuweka bei inayofanana. Kwani lazima muangalie? Yaani magufuli aache kushughulikia afya, elimu, ardhi, kodi na takataka nyingine ahangaike na DSTV. Give him a break please.
 
Back
Top Bottom