Wasichana wa chuo na ndoto za mchana

Wasichana wa chuo na ndoto za mchana

Maisha ya kuigiza ni mengi. Kuna madem walikua wanakunywa maji ya kilimanjaro tu. Sas nkajiuliza ivi kiuhalisia uko kwao ni kweli wanakunywa hayo maji au ya kuchemsha

Umeona mkuu yani ni shidaa?,Kweli maisha yao ni full maigizo!
 
weekend hiyo ishafika hali ya hewa itachafuka soon
 
Muuza karanga tafuta mama ntilie wa chuo sio saizi yako watakupwelepweta


Kuna wajinga watakubali huu msemo
 
Hizo ni tabia za first year. Wakishafika 2nd year huwa wanabadilika... Wanaanza kuwa waungwana...
 
hawa kina dada wa humu JF bhaana ni hatari, wakiona uzi unaowaponda tuu hawatokezii kushiriki utadhani hawamo ,tunaona idadi ya watu waliousoma huu uzi inaongezeka tuuu,,,,wakati mwingine ukweli unauma

Liemwalo lipo lakini tusiwalaumu sana tuwalaumu hao wanaowapa pesa na kuwatunisha vichwa


wasipewe hela tuone kama watatanua na kujiachia
 
Leo wa chuo mnalo aiseee ..... mie nikae kimya na msimamo wangu mwanaume wangu lazima awe na pesa .. hata mnitoe macho sibadili msimamo
 
hawa kina dada wa humu JF bhaana ni hatari, wakiona uzi unaowaponda tuu hawatokezii kushiriki utadhani hawamo ,tunaona idadi ya watu waliousoma huu uzi inaongezeka tuuu,,,,wakati mwingine ukweli unauma

Liemwalo lipo lakini tusiwalaumu sana tuwalaumu hao wanaowapa pesa na kuwatunisha vichwa


wasipewe hela tuone kama watatanua na kujiachia
ha ha ha wadada wanakazi
 
The good thing in life is to take care your own business.
 
Mi nawapenda mno, mifupa Yao sio migumu,harafu unajipakulia mwenyewe..
 
usiwatilie maanani mana mtaji wako ni mdogo sana ndo mana wanakudharau. Ukitaka kuwapa uza nguo za kike.
 
Back
Top Bottom