Sasa hapo hiyo pesa yangu itakua ina kaa muda wote huo ni kwanini taratibu zisiwepo kama vile unavyo fuata kanuni zingine za kutoa fedha ndipo upatiwe bidhaa maana unakuta mtu anatoa fedha yake halafu muda wa kupata huduma una kua nimuda mrefu wa kusubiria nanyi
Pia mjivishe wajibu juu ya...
Niko maeneo ya Arusha mjini kata ya sokon one mtaa wa lolovono mkabala na uswahili street
Ombilangu kwenu ninyi Tanesco hususani wa mkoa huu wa Arusha tunashukuru kwa kutu sambazia nguzo mpaka mitaani pongezi sana..
Lakini kingine napenda kuwaauliza mbona kuna baadhi ya mitaa mmeruka...
Duuuh!! Mzaha mwingi
Yaaani maumivu kibao msaada hapo niupi? meenzetu kaomba msaada tujaribu kumsaidia maumivu yakwenye ndoa ni mazito bora ya nje ndoa utatoa sababu lakini kwa mke asikuambie mtu
Tumpe mwenzetu Dawa aepukane na fedhea kama hiyo...kwa mwenye uelewa mzaha tuuweke pembeni...
Ni jiji lakini tuko mjini kati hatuna wala nguzo za umeme madaraja yameenda na maji yote utafikiri ni kisiwa kisicho ishi watu...
Jitihada za wakuu hazionekani....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahukuru kwa muongozo lakini lengo langu lilikua nikuacha kazi au nisiendelee na mkataba ili nipate kuchukua mafao yangu sasa kama nihivyo nikiamu maamuzi hayo inamaana itakula kwangu ..?
Sasa nauliza nitumie njia gani ili nipate mafao yangu yote katika hiki kipindi cha mpito alicho kitamka Mh...
Kwamaana hiyo nikiamua kuacha kazi mwenyewe bila kuachishwa nitapata mafao yangu yote bika usumbufu wa aina yoyote.. Ndani ya mwezi mmoja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inachukua muda gani mpaka kulipwa mafao yako yote aidha umeachishwa au mkataba hautaki kuendelea nao au kuacha mwenyewe kazi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Salamu nyingi kwenu..
Naomba kuuliza hii hali inaendelea japo mheshimiwa Rais katia ufafanuzi na kurudisha kama awali?..
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.