LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 862
- 1,097
Serikali imeridhia ongezeko la mshahara kwa watumishi wa serikali lakini isipoweka vizuri mahesabu yake baadhi ya watumishi mishahara yao itaongezeka kwa maana ya basic pay lakini kiasi cha mwisho yaani take home itapungua kama serikali haitafanya marekebisho ya muundo wa PAYE.
Ongezeko la mshahara linaweza kumhamisha mtumishi kutoka ngazi ya chini ya PAYE hadi ya juu yake ambayo ina makato makubwa kuliko ongezeko la mshahara. Mfano mfanyakakazi wa kima cha chini 270,000 akiongezewa mshahara ataanza kulipa kodi ya PAYE ambayo awali alikuwa halipi.
Pia mfanyakazi aliyekuwa anapata mshahara kuanzia 520,000 hadi 760,000 alikuwa analipa PAYE kiasi 20,000 + 20% ya kiwango kinachoongezeka juu ya 520 000 akipanda mshahara kuwa 761 000 atahamia kwenye category mpya ambapo atalipa PAYE 68,000 +25% ya kiwango kinachoongezeka zaidi ya 760,000.