Recent content by Dunia yakoo

 1. D

  Alama ya Nyundo na Jembe kwenye bendera ya CCM ni ya kuwamaliza Wakulima?

  Alama ya nyundo na jembe kwenye bendera ya CCM ni ya kuwamaliza Wakulima. Nyundo inawagonga kichwani na jembe linawafukia kabisa. Marais Wastaafu wanajengeana nyumba baada ya kugawana nyumba za serikali na kupeana benzi, wakulima wamesahaauliwa. Mama yetu tafadhali sikia kilio cha Wakulima...
 2. D

  Kikwete: Tanzania ipo katika mikono salama

  JAKAYA KIKWETE: TANZANIA IPO KWENYE MIKONO SALAMA - Rais Mstaafu wa awamu ya 4 asema amepokea taarifa ya kifo cha Rais Magufuli kwa ugumu - Asema, Rais Samia anayajua yaliyopangwa kufanyika miaka mitano ijayo, hivyo Tanzania ipo salama
 3. D

  Uwanja wa Uhuru washindwa kuwamudu waliojitokeza kuaga mwili wa Hayati Magufuli

  UWANJA WA UHURU WASHINDWA KUWAMUDU WALIOJITOKEZA KUAGA Waombolezaji waliujaza Uwanja tangu saa 3:30 asubuhi, waombolezaji wengine waliombwa wasubiri nje, wakihakikishiwa kuingia uwanjani kumuaga Dkt. Magufuli watu wengine wakipungua
 4. D

  CUF Habari: Habari zilizobamba wiki hii

  CUFHABARI NA HABARI ZILIZOBAMBA WIKI HII Ndugu msomaji wetu karibu tena kwenye Ukurasa wetu huu wa CufHabari ambapo Leo tunakumbushana habari muhimu zilizochukua umuhimu Mkubwa kwenye wiki inayoishia jumamosi Januari 30, 2021. A. HABARI ZA KITAIFA (i ) Siku ya Mashujaa wa CUF- Chama Cha...
 5. D

  Umoja wa kudai katiba mpya Tanzania (UKUKAMTA)

  Wasiliana nao kupitia Whatsap No. 0678367707
 6. D

  Umoja wa kudai katiba mpya Tanzania (UKUKAMTA)

  Wasiliana nao kupita Whatsap No. 0678367707
 7. D

  Umoja wa kudai katiba mpya Tanzania (UKUKAMTA)

  Umoja huu umeanziwa na watanzania walioweka itikadi za vyama pembeni na kuweka Taifa mbele #ukukamta2021
 8. D

  Dunia inawakumbuka waliofanya

  Watu wengi walipokuwa wanakutana na Albert Einstein jambo la kwanza walikuwa wanamuambia... “Einstein, Mungu amekujalia akili nyingi sana, wewe ni Genius”. Siku moja alipoambiwa hivyo akasema... “Ngoja niwaambie siri ya akili zangu nyingi na mafanikio yangu imetoka wapi. “It’s not that I’m...
 9. D

  Njia rahisi ya kuandaa bajeti yako

  50/30/20 Hii Ndio Njia Rahisi Zaidi ya Kupanga Bajeti Yako. Njia hii ilianzishwa na Seneta mmoja Marekani jina lake anaitwa Elizabeth Warren. Elizabeth Warren alisema kwamba unapopanga Bajeti yako igawe katika Makundi 3 Makuu. 1) Kundi La Kwanza Ni 50% Kundi la kwanza ni la kuweka kwenye...
 10. D

  Umuhimu wa kutumia juisi ya kitunguu na parachichi

  UMUHIMU WA KUTUMIA JUISI YA KITUNGUU MAJI NA PARACHICHI Tumia juisi ya mchanganyiko wa kitunguu maji (chekundu) na parachichi kuondoa ziada ya tryglicerides kwenye mzunguko wa damu. Tryglicerides ni aina ya mafuta yanayotengenezwa mwilini kutokana na ubugiaji wa kiasi kikubwa cha vyakula vya...
 11. D

  Profesa: Waalimu wenzangu, hivi mnawafundisha nini hawa vijana?!"

  TUJIKUMBUSHE.. "WAALIMU WENZANGU, HIVI MNAWAFUNDISHA NINI HAWA VIJANA?!" MWAKA 1995. KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU, CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) Moja ya maeneo ambayo Prof. Lipumba alifika kufanya kampeni katika uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 ilikuwa ni katika chuo cha usimamizi wa fedha, IFM...
 12. D

  Wilfred Lwakatare ashauri tubadili mfumo wa kupata Wawakilishi

  Wilfred Lwakatale ashauri tubadili mfumo wa kupata wawakilishi, kuna mifumo mingi ya kutumia tujifunze kutoka nchi zingine amesema kuna mfumo ambao vyama vinapata wawakilishi kutokana na idadi ya kura zilizo pata chama hivyo chama kinapeleka orodha ya majina. Asema hayo katika uzinduzi wa...
 13. D

  Kongamano la Ukombozi la kudai Katiba mpya Tanzania

  Mbona mnapata tabu sana tulizeni mapepe wanaume wafanye yao
 14. D

  Prof. Lipumba amemteua Mbarouk Seif Salim kuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar

  Afu mnapenda ccm au bado hamjamini maalim sefu kutupwa nje ya box.....subirini soon anaenda kuapa sefu.
Top Bottom