Nchi 10 bora za Kiafrika za kuwekeza 2022

Nchi 10 bora za Kiafrika za kuwekeza 2022

Dunia yakoo

Senior Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
139
Reaction score
214
1. Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ
2. Misri ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
3. Afrika Kusini ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ
4. Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ
5. Moroko ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ
6. Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
7. Ethiopia ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น
8. Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ
9. Angola ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด
10. Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ

Chanzo: Business Insider
20220613_095334.jpg
 
Business insider mi nawachekigi tu, hawa jamaa wana taarifa za kihuni huni tu, sasa hapo Ivory Coast na Nigeria hata usalama hamna inakuwaje na potential ya uwekezaji, na kuna documentary flani nilicheki jamaa wanadai, 30% ya pesa makampuni ya kuchimba mafuta huingiza, huishia kwenye ulinzi hapo niger delta.
 
Naam! Na hii ndio takwimu ya kimchongo ya mabeberu a k a mashoga
 
Huu ni uwongo huwezi sana Nigeria ndo sehemu nzuri zaidi kuwekeza Afrika wakati kuna vita Boko Haram, Kidnapings kila mahali!

Hii ni uwongo...usiamini kila kitu unachotumiwa!
amani sio kigezo cha sehem kuwa nzur kuwekeza , wanazungumzia mzunguko wa pesa , Kenya pekee ipo far ahead dhidi yetu
 
Business insider mi nawachekigi tu, hawa jamaa wana taarifa za kihuni huni tu, sasa hapo Ivory Coast na Nigeria hata usalama hamna inakuwaje na potential ya uwekezaji, na kuna documentary flani nilicheki jamaa wanadai, 30% ya pesa makampuni ya kuchimba mafuta huingiza, huishia kwenye ulinzi hapo niger delta.
Nilivyoona Nigeria ipo nikaacha kusoma
 
Nigeria ni hovyo kuliko Somalia, vita, rushwa, wizi, gharama za umeme juu sana, rushwa yao ipo juu mara 30 ya TZ
 
Back
Top Bottom