Aliyoyafanya Sadio Mané katika kijiji chake

Dunia yakoo

Senior Member
Nov 23, 2019
139
214
▶ Amejenga shule yenye thamani ya €270,000.
▶ Amejenga hospitali yenye thamani ya €530,000.
▶ Hupatia kila familia €70 kila mwezi.
▶ Hutoa nguo bure kwa watoto.
▶ Upatikanaji wa mtandao wa 4G kutokana na ushirikiano wake na Orange.
▶ Kituo cha mafuta kupitia Oryx Senegal hivi karibuni.

IMG_20220617_164434.jpg
 
Halafu Tz ukijenga labda hospitali halafu ukasema ni kwa ajili ya jumuiya kwamba siyo private basi inamilikiwa na serikali automatically. Kwahiyo watakuchangia labda mabati na madirisha halafu watakua wanaleta manesi na madokta. Hapo wewe ndiyo basi tena.
 
Tanzania tuna Bilionea anaitwa Diamond platinum, vitu pekee anachojivunia kijamii ni kubadilisha wanawake, kufanya tafrija za ufuska na kubadilisha magari.

Kuna kitu kikubwa mnoo cha kujifunza kutoka kwa Sadio Mane, Samwel Eto, Nwanko Kanu.
Hatimaye Diamond anunua Private Jet

Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Diamond anunua Iphone kwa mara ya kwanza

Diamond anunua jumba kwa Tsh Bilioni 1 na kulifanya makao makuu ya Ofisi za Wasafi(WCB) nchini

Diamond Platnumz anunua ndinga mpya kama ya Ronaldo
 
Tanzania tuna Bilionea anaitwa Diamond platinum, vitu pekee anachojivunia kijamii ni kubadilisha wanawake, kufanya tafrija za ufuska na kubadilisha magari.

Kuna kitu kikubwa mnoo cha kujifunza kutoka kwa Sadio Mane, Samwel Eto, Nwanko Kanu.

Kwa hiyo unachagua vile -ve tu ndio unaandika?

Huoni msikiti aliojenga Kigoma, Kulipia kodi watu 500, kuwekea vijana wa bodaboda takribani 1000 full tank kila mmoja, kuajiri vijana wenzake, kufunguza watu kipindi cha ramadhani, kuwapa vijana mitaji n.k

Ulichochagua wewe kuona ni -ve tu, swala la kubadilisha wanawake hakuna Mwanaume awaye yeyote asiyebadilisha wanawake, ni vile tu sisi wengine hatuonwi kwa kuwa sio mastar, huku Uyole Mbeya viwembe tupo wa kutosha tu.

Msipangie watu matumizi ya pesa zao, walitafutia juani waacheni watumie vile wanapenda, ukipata wewe pesa nenda kafanye kama Sadio Mane.

Kuhusu tafrija za ufuska nadhani bado hujaona, nenda Tabata ukaone orgy zinapigwa live ndo utajua Diamond cha mtoto tu.
 
Kwahiyo we jamaa wa Uyole umezama kwa Diamond Mwaplatnumz?
 
Familia 500?? Yenu ipo hapo au ipo unayoijua ya mwana JF yeyote???
 
Back
Top Bottom