
OFA VIWANJA VIGWAZA

Viwanja vimepimwa na vina hati

Bei yetu ni 2,000/SQM.

Lipia 200,000 kila mwezi Hadi ukamilishe(installment)

Vipo umbali wa KM 6 kutoka Vigwaza Mizami.

Viwanja Vipo pembezoni mwa barabara inayojengwa inayoelekea bandari mpya.

Miundombinu ya barabara na umeme tayari imeshafika.

Vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia SQM 650 Hadi SQM 1,247

Kutembelea site ni kila siku,hakuna gharama

Eneo ni tambarare na linafaa Kwa Makazi na biashara

Tuna miradi mingine maeneo ya Kigamboni kama Cheka, Kisota , Mbutu na Chekeni Mwasonga..Pia tuna miradi maeneo ya Madale Mivumoni, Bunju Mji mpya, Mwapinga.Kibaha Tuna miradi maeneo ya Vikawe, Pangani , Misugusugu, Fukayosi na Kwa Dodoma tuna miradi maeneo ya Ihumwa, Chamwino, Iyumbu, Iyumbu, Kitelela, Nala, Chahwa na Itega.

Wahi sasa ofa hii ya Viwanja

Ofisi zetu zipo Nyuma ya Ubungo plaza, KARIBU SANA