Jamani nadhani mtoa hoja hamjamwelewa vizuri, amesema mume kabaki NYUMBANI na sio vinginevyo.
Mi nadhani si halali kitendo hicho, kusafiri no inshu nyingine kabisa. Kwa hiyo jengeni hoja Na sio kumshambulia mtoa hoja
Smart phone wapi, hizi mbwembwe tuu za vodacom, eti HUAWEI HUAWEI kumbe kitochi cha HUAWEI Na sio smart phone. ingawa TIGO wanazingua network lakini wamejitaidi katika kuleta smart phone kwa being nafuuuu,
Jamani kwenda Na wakati ndio kuto sikiliza habari, hii si sawa, lazima atakua ameudhi watu wengi, mi nilidhani ikifika saa moja atatoa, na imekua kinyume!
Watu wanasema tuu, inshu hizi zinatokea popote pale mie ilinitokea wakati Nina usingizi Wa asubuhii nimetoka maliwatoni, ile nafunga tuu zip bhaaaa ikabana air nikaanza kuimba mwenyewe naomba msamaa kwa hewa, ilinichukua kama dakika 10 kuondoa no experience ambayo inanifanya niwe makini sana...
Nimekua nasikia JF kila kona Leo nimeona bora nisiishie kusikia Bali nijionee mwenyewe. Na nilichokikuta no tofauti Na nilichosikia, nine habarika, nimecheka na kuburudika zaidi
Inshu sio utakuta nini kwenye ndoa yako bali ni nini unataka ukuye kwa sababu ndoa ni wewe na umpendae. Nyote wawili mnajukumu LA kuifanya ndoa I we nzuri au mkaibomoa.
Hii imekua kawaida sana haswa enzi hizi za sasa ambapo kupata hela ni ngumu sana, wananchi wamechoka sana na mtu ambaye anataka short cut katika maisha no mbaya sana ila kitendo cha kumchoma sio kizuri Na soi suluisho. Wananchi watafute njia mbadala Na sio kuua. Kwa sababu wanavyoua wanakua...
Kwa kweli hay a mambo yapo sana tena huku uswahilini tumeshazoea sana. Tatizo maisha magumu sana Na vishawishi no vingi sana, kama huyo mdada alimtoa bushi basi hakua amezoea mazingira ya wanaume Wa mini, Na inawezekana alishawishika Na kitu kidogo sana.
Issue sio kubaki njia panda, hapo bora amekueleza mapema, kuliko kuja kupigani mapenzi Na kuingia kwenye mtandao Wa ngono, kimbia babu life is to short
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.