Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini..
1. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua...
2. Nenda kaseme tena..
3. Gusa unate..
4. Flag ya chuma..
5. Masikini hafilisiki..
Usicheze mbali, unga robo na mchicha wa sh. 20Hapa ni stori tu, Kula kale kwenu
Mara kibao tuMzee unalog off mara ngapi kwa siku?
baada ya zote kuwa tamu na pia ZAFANANA.Zote tamu ,je hii umewahi kuipanda?
mjini shulembwa hazai chura
log in
Mkuu umetisha
babaako analo?