Nyumba moja wapangaji wengi

Nyumba moja wapangaji wengi

yawezekana kweli hujaelewa au hujui aina ya nyumba nayo izungumzia! sasa nakuelekeza, kwa kawaida nyumba yenye korido moja navyumba pembeni huwa na mlango wa kila chumba na milango miwili wa nyuma na mbele! na kwa kuwa wapangaji ni wengi huwezi kufunga mlango mkubwa mara nyingi huwa umerudishiwa kwani huwezi monitor wapangaji wenzako muda gani waingie ila mlango wako wa chumba ni lazima kufunga japo kwa bidada alikua chumba cha pili ameukalia huku amerudisha mlango! sina maelezo ya ziada kukufanya uamini ila huo ndio ukweli, japo najua mwizi hufikiri kila mtu ni mwizi usikute umezoea kutunga sasa unafikiri kila mtu hapa anatunga!

Nashukuru mkuu na hayo mazingira ya hizo nyumba nayaelewa sana ila shida yangu ni hapo kwenye kuvunja mlango wa mpangaji mwenzao eti kisa wanamhisi ya kwamba yupo na mke wa jamaa. Kumbuka ni hisia na hakuna aliye na uhakika. Kama aligonga ukawa haujafunguliwa na kwa maneno uliyotanguliza katika kunijibu ni kwamba hodi aliyopiga ikiwa hajajibiwa kuna mengi. Mosi, labda jamaa bado hajarudi (mlango mkubwa haufungwi ili kuwapa uhuru wapangaji wengine kuingia ndani (maneno yako mwenyewe), pili jamaa inawezekana amelala. Yaani yapo mengi ila hilo la kuvunja mlango aisee bado nipo na msimamo wangu ya kwamba haliniingii akilini.
 
Kwa kweli hay a mambo yapo sana tena huku uswahilini tumeshazoea sana. Tatizo maisha magumu sana Na vishawishi no vingi sana, kama huyo mdada alimtoa bushi basi hakua amezoea mazingira ya wanaume Wa mini, Na inawezekana alishawishika Na kitu kidogo sana.
 
Hulka, malezi na tabia ni vitu vigumu sana. Mwandishi wa vitabu, marehemu Shabani Robert alisema katika moja ya vitabu vyake. ''ONYO LA BUSARA LA MAMA LIKITOLEWA MAPEMA KWA BINTI NI KINGA BORA MAISHANI KULIKO MILANGO YA MAKUFULI NA MADIRISHA YA MAKOMEO'' Sioni kama nyumba za kupanga wapangaji wengi zina matatizo makubwa kama tunavyojaribu kutafsiri. Moja ya tabia za wanaume ni kutongoza, ni jukumu la anayetongozwa kujipima na kutoa majibu ya kukubali au kukataa kulingana na uhalisia wake. (Yupo kwenye ndoa) alistahili aheshimu ndoa yake. Hakupata onyo la Busara kutoka kwa mama yake.
 
Hapo kwenye red, pamenifanya nisiiamini stori yako. Nyumba ya kupanga, jamaa karudi mkewe hayupo, amewagongea mlango mmoja hajafungua ndo wakavunja na mlango? Akili yangu bado haijakubali hapo

Stori za vijiweni hizo ukimuuliza atakuambia kuwa nae kahadidhiwa
 
Enzi hizo niko chuo nilipanga nyumba moja mwenye nyumba alikuwa na vibinti kama vitatu hivi....basi vilikuwa vinashinddana kuvaa kanga moja na kukaa uwani aisee
 
Kama una uwezo chukua nyumba nzima kuanzia laki na nusu na kuendelea mambo ya kushare ndio hv mnakuja kushare hadi mke/mme
 
Hulka, malezi na tabia ni vitu vigumu sana. Mwandishi wa vitabu, marehemu Shabani Robert alisema katika moja ya vitabu vyake. ''ONYO LA BUSARA LA MAMA LIKITOLEWA MAPEMA KWA BINTI NI KINGA BORA MAISHANI KULIKO MILANGO YA MAKUFULI NA MADIRISHA YA MAKOMEO'' Sioni kama nyumba za kupanga wapangaji wengi zina matatizo makubwa kama tunavyojaribu kutafsiri. Moja ya tabia za wanaume ni kutongoza, ni jukumu la anayetongozwa kujipima na kutoa majibu ya kukubali au kukataa kulingana na uhalisia wake. (Yupo kwenye ndoa) alistahili aheshimu ndoa yake. Hakupata onyo la Busara kutoka kwa mama yake.

Ni jukumu pia la anayetongoza kuangalia mwanamke asiyeolewa ndiye anayefaa kutongozwa. Ni ushenzi kujua huyu ni mke wa mtu halafu ukatamani na kufikiria kulala naye. Mwanamme aliyepita mafunzo ya jando hathubutu kutongoza mke wa mtu. Ndiyo sababu akifumaniwa huweza kuuwawa....
 
mimi sijapitia jando kwa hiyo ruksa kutembea na mke wa mtu.
 
Nashukuru mkuu na hayo mazingira ya hizo nyumba nayaelewa sana ila shida yangu ni hapo kwenye kuvunja mlango wa mpangaji mwenzao eti kisa wanamhisi ya kwamba yupo na mke wa jamaa. Kumbuka ni hisia na hakuna aliye na uhakika. Kama aligonga ukawa haujafunguliwa na kwa maneno uliyotanguliza katika kunijibu ni kwamba hodi aliyopiga ikiwa hajajibiwa kuna mengi. Mosi, labda jamaa bado hajarudi (mlango mkubwa haufungwi ili kuwapa uhuru wapangaji wengine kuingia ndani (maneno yako mwenyewe), pili jamaa inawezekana amelala. Yaani yapo mengi ila hilo la kuvunja mlango aisee bado nipo na msimamo wangu ya kwamba haliniingii akilini.
unacho kifanya si kibaya kwani wasiwasi ni akili, but amini huo ndio ukweli! swala la kuvunja limekuja kwa kuwa wapangaji wengine walimuona yupo na ukweli wapo waliokuwa wanaujua kwenye wengi hapashindwi jambo na hilo mpaka nikufundishe! wewe mwenyewe unaweza kuwa na mke kila mtu anafahamu nani anakula mzigo ila hakuna wa kukwambia ila siku ukimshika kila mtu utasikia nilikua najua! wapo watu walikuwa pengine wanajua ndio maana wakawa na uhakika ule kuna mtu labda alimuona anaingia mbona hayo maswali hukujiuliza unajiuliza ya kupinga pinga tu! mimi siishi ndani ya nyumba hiyo, ila kwangu ni mtaa mmoja na hiyo nyumba! kama kawaida vijana walileta sitori mtaani ni kafanya uhakiki na kujua ukweli kuwa ni stori ya kweli nikakupa tahadhari hutaki acha, au jaribu neenda kapange nyumba moja na masingle zaidi ya sita uone!
 
Shigongo yuleeee
Utaishia kuwaza negativity kwa kila jambo! una uhakika na unalo lisema? watu wa JF wako katika makundi matano
1. wanao simamia ukweli hata ukipotosha (kama ulivyo jaribu kupotosha lakini umeona wapo walio simamia ukweli)
2. wapotoshaji kama wewe (munahamisha mjadala)/ jina lingine nawaita wasaga sumu
3. bendera fata upepo (anasoma alafu anafuata kile wengi wanasema)
4.wenye migogoro binafsi (from no where mtu anakuchukia kila post yako yeye ni negative comment/ uliwahi kucomment negative kwake analipiza kisasi)
5. wanaopenda kupewa like(uandike pumba au cha maana yeye ni positivity tu ili apate like )
wengi wako kundi namba moja na tano! ila wachache kama wewe mko karibia makundi yaliyo baki kama unabisha fungua thread yoyote uone! hata hii hii utagundua haya makundi labda kama una tatizo la ufahamu pia.
sikushangai kwa comment zako najua wewe ni kundi gani!!!!!!!!!!!!!11
 
Hulka, malezi na tabia ni vitu vigumu sana. Mwandishi wa vitabu, marehemu Shabani Robert alisema katika moja ya vitabu vyake. ''ONYO LA BUSARA LA MAMA LIKITOLEWA MAPEMA KWA BINTI NI KINGA BORA MAISHANI KULIKO MILANGO YA MAKUFULI NA MADIRISHA YA MAKOMEO'' Sioni kama nyumba za kupanga wapangaji wengi zina matatizo makubwa kama tunavyojaribu kutafsiri. Moja ya tabia za wanaume ni kutongoza, ni jukumu la anayetongozwa kujipima na kutoa majibu ya kukubali au kukataa kulingana na uhalisia wake. (Yupo kwenye ndoa) alistahili aheshimu ndoa yake. Hakupata onyo la Busara kutoka kwa mama yake.

Lakini mkuu kumbuka kuna watu wana verse! ana mshawishi mpaka mtu anamwamini yeye kuliko anavyo jiamini mwenyewe! kwa hiyo makundi yote yanapaswa kujizuia!
 
Enzi hizo niko chuo nilipanga nyumba moja mwenye nyumba alikuwa na vibinti kama vitatu hivi....basi vilikuwa vinashinddana kuvaa kanga moja na kukaa uwani aisee

umenikumbusha mbali sana ndugu yangu duh!
 
Kama ulikuwepo, ndo alivyosema hivyo kwamba amesikia kwa vijana wa mitaani. Nimenukuu kauli yake hapo chini na hiyo kauli kwenye red

mimi siishi ndani ya nyumba hiyo, ila kwangu ni mtaa mmoja na hiyo nyumba! kama kawaida vijana walileta sitori mtaani ni kafanya uhakiki na kujua ukweli kuwa ni stori ya kweli nikakupa tahadhari hutaki acha
 
Nashukuru mkuu na hayo mazingira ya hizo nyumba nayaelewa sana ila shida yangu ni hapo kwenye kuvunja mlango wa mpangaji mwenzao eti kisa wanamhisi ya kwamba yupo na mke wa jamaa. Kumbuka ni hisia na hakuna aliye na uhakika. Kama aligonga ukawa haujafunguliwa na kwa maneno uliyotanguliza katika kunijibu ni kwamba hodi aliyopiga ikiwa hajajibiwa kuna mengi. Mosi, labda jamaa bado hajarudi (mlango mkubwa haufungwi ili kuwapa uhuru wapangaji wengine kuingia ndani (maneno yako mwenyewe), pili jamaa inawezekana amelala. Yaani yapo mengi ila hilo la kuvunja mlango aisee bado nipo na msimamo wangu ya kwamba haliniingii akilini.

Mkuu chwechinyong nilikuwa Moro kwa sista angu kihonda 1996 kuna mpangaji wake mmoja alikuwa anatabia ya kumwacha mkewe kalala ndani usiku yeye anajifanya kwenda chooni kumbe anazamia chumbani kwa sista duu next door. Kuna watu waliKuwa wakishuhudia hiyo movie wakamtonya bi mkubwa, akaanza weka mtego. Siku ya siku jamaa kaons wife anakoroma si akatoka Ana tip toeing mpaka chumbani kwa sista duu, dk kumi nyingi wife akatoka uani anaita baba samweli kiMyaa km Mara tatu hivi halafu aka seam unadhani sijui uko wapi toka huko nakwambia. Wapangaji wote wakatoka bidada peke yake hakutoka. Muda ulipozidi kwenda jamaa hatoki sista akakubali mango uvunjwe kwa gharama za bidada na baba samweli kuona hivyo baba samweli akafungua mlango anatoka Hulu mchozi unamtoka na kitaulo chake, nisamehe mke wangu, shetani alinipitia, mkewe akachomekea kumbe ulikuwa unamfuata shetani hukoo. So hii niliishuhudia live mwnyewe, na uamuzi wa kuvunja mlango uliafikiwa viizuri tuu
 
Back
Top Bottom