yamoyoni mwangu
Senior Member
- Oct 25, 2013
- 106
- 31
Oy wana jukwaa, leo kuna kitu nimejifunza kitu kutoka hapa ninapo ishi....
mama mwenye nyumba, amekwenda harusini na kumuacha mumewe..... harusi yenyewe ni ya usiku.... sasa me nikawa najiuliza kwa umri wetu kweli hili suala linawezekana.... binafsi mm cwez kumuacha wife aende mwenyewe wala yeye hawezi kukubali mm niende mwenyewe.... cjajua kwenu wadau wewe na mkeo/mumeo/ mchumba ako mnaweza kufanya hivi... kama alivyofanya jamaa....