mps
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 406
- 588
Jamani kuishi ni kujifunza imetokea nimempenda sana binti wa kitaani kwetu form four leaver kutokana na tabia yake nikamweleza ukweli kwamba nitamuoa baada ya mm kuwa nimekamilisha mambo yangu ya kusaka note coz ndo nimemaliza chuo binti kanikubalia tumeingia kwenye mahusiano vizuri yapata miezi mitatu sasa lkn ghafla jana binti kaniita kuwa ana mazungumzo na mm kwenda binti ananiambia kuwa yy alikuwa na mchumba wake ambaye kwa sasa yuko masomoni znz na tayari posa ilishatolewa kwao na hivyo ameamua kuniambia ukweli na akaenda mbele zaidi kwa kusema kuwa anajisikia vibaya kumsaliti mmewe mtarajiwa sasa nilibaki nashangaa kwa nn hakunimbia tangu mwanzo nilivyomuuliza hilo swali akasema alikuwa ananionea huruma nikamwambia ok fine usikilize moyo wako. Ebu wadau naombeni mchango wenu wa mawazo kuhusu hili na nn nifanye either nimteme ama niendelee kugegeda ama anzingua tuu baada ya kuona sina kazi? ushauri please