Kwa kifupi anarudisha viwango vya elimu na ufaulu Tanzania, TCU wameharibu usahiri katika vyuo vikuu kwa kutozingatia ufaulu wa wanafunzi,wamevuruga mfumo wa elimu Ya juu kwa kudharirisha ufaulu wa wanafunzi.
Mh. ameongea kitu ambacho kina mashiko, haiwezekani mtu afaulu kwa alama za juu apelekwe Kwenye vyuo ambavyo havina hadhi Ya ufaulu wake, mfumo huo haupo popote dunia! Best students go to best universities! Period
Namnukuu sir Andy change"lengo kuu la free mason katika first degree Ni kukuweka huru kifikra na kimwili, second degree kukufanya ukitambua na kufurahia maisha kwa kiwango cha juu kabisa, na third degree Ni uhuru wa kiuchumi. Nadhani kuna mambo Ya kujifunza hapo.
Habari wana jamii,
Kuna yeyote anajua kuhusu utaratibu au mchakato wa kujiunga na hawa wajenzi huru,na Ni nini faida zake na changamoto zake kwa ujumla. Mwenye ufahamu atujuze tafadhali.
Mimi Sioni kamaliza kuna tatizo mtu akituhumiwa kwa kosa fulani, kumbukeni Ni tuhuma tu, na tuko kwny mchakato wa kuzithibitisha, wasiwasi na mihemko kwa watuhumiwa inatia mashaka zaidi!
Genesis 12:3, I will bless those who bless u and I will curse him who curses you, and from you all families of the earth shall be blessed! That's lord's everlasting blessing on Israel.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.