Trump anaonewa bure

Trump anaonewa bure

kwani matendo ya waisrael(mashoga) hamuyajui?
Mwisho wa siku mnalilia kwenda kwao na misaada. Bakini kwenu.
Mashoga wapo kila pande ya dunia hata uarabuni wapo. Hili ni janga la dunia nzima
japo zenji ni lkn mashoga wapo wengi tu
 
Genesis 12:3, I will bless those who bless u and I will curse him who curses you, and from you all families of the earth shall be blessed! That's lord's everlasting blessing on Israel.
 
Hawa watagombea zamu za kuratibu hija, Saudia ipo poa kwa ulinzi madhubuti wa USA.

Wanaingia kichwa kichwa huku wanaona.

Iraq wanachinjana kama kuku na ni waislamu watupu!!!

Waarabu wameingia mtegoni kiulainiiii
Hao Iraq kabla hawajamkaribisha mmarekani kwenye Ardhi yao , walikuwa wanachinjana?
 
Safi sana inabidi na wengine hasa hao walizuiwa kuingia USA na wao kuwafukuza wamarekani wote na kuvunja uhusiano wa kidipolomasia na USA.

Kwa nini wavunje uhusiano?, kwa nini watu wakimbilie US?, nadhani hiyo ya kufukuzwa ni changamoto kubwa wa wanaofukuzwa kwenda kwenye nchi zao na kushinikiza serikali zao ziache ufisadi, Rushwa na kuwepo uhuru wa raia na pia serikali zao zijikite kutengeneza uchumi
 
Labda kama huwajui kina chemical Ally!!!!
Hizo zote zilikuwa ni propaganda za wamarekani dhidi ya Saddam na Wakurds, jaribu kwenda ndani zaidi kwa kusoma kuhusu historian ya Iraq na wamarekani, na nini kilichowapelekea kuivamia Iraq, halafu ndio uje hapa tubishane, lakini kwa jibu hill ulilonipa hujani convince ku debate na wewe.
 
Huna lolote!!!
Una maana Iraq haikuivamia Kuwait?
Unadhani palikuwa na sababu za msingi za kumuacha Sadamu aendelee kuwepo madarakani ukizingatia brutal Mentality yake ile?
Box la kura lisingemuondoa asilani. Kipigo tu ndio saizi yake.

Al sahafu alikuwa anatudanganya wakatibwa vita kuwa majeshi ya adui hayajaingia baghdad wakati tunayaona majeshi yakiwa meter chache kutoka ikulu yao!!!
Pambauf kabisa!!!
Kaa ukijua kuwa mimi siku convince tubishane maana utaniambukiza uzezeta fulani wa kikurdi.

Kila mtu si akae kwake jamani!mbona povu jingi kung'ang'ania kwa watu jamani?kwenu kwani hampiki?
 
Kama Israel ya Netanyahu ndio taifa teule la Mungu basi tumtake radhi Mungu
Tusimchezee Mungu namna hii
 
Zifuatazo ni nchi 16 ambazo zimepiga marufuku Raia wa Israel kuingia kwenye nchi hizo tangu miaka ya 1990 .
Algeria
Bangladesh
Brunei
Iran
Iraq
Kuwait
Lebanon
Libya
Malaysia
Oman
Pakistan.
Saudi Arabia
Sudan
Syria
United Arab Emirates
Yemen.
Nchi hizo zimezuia hata mtu yeyote aliyetembelea Israel asiruhusiwe kuingia kwao.
Dunia ipo kimya wala hakuna anayeandamana kuwatetea Waisrael, Leo Trump ametangaza zuio la muda mfupi (siku 90) kwa raia wa nchi saba wasiingie Marekani dunia nzima inatokwa povu.
Anae anza haonekani, anaemaliza anaonekana.

Mimi mtuakinifukuza kwake najipanga kivyangu, kuanza kulialia nikupoteza muda tu.
 
Huna lolote!!!
Una maana Iraq haikuivamia Kuwait?
Unadhani palikuwa na sababu za msingi za kumuacha Sadamu aendelee kuwepo madarakani ukizingatia brutal Mentality yake ile?
Box la kura lisingemuondoa asilani. Kipigo tu ndio saizi yake.

Al sahafu alikuwa anatudanganya wakatibwa vita kuwa majeshi ya adui hayajaingia baghdad wakati tunayaona majeshi yakiwa meter chache kutoka ikulu yao!!!
Pambauf kabisa!!!
Kaa ukijua kuwa mimi siku convince tubishane maana utaniambukiza uzezeta fulani wa kikurdi.
Ulivyojibu ni zaidi ya zezete, kapuku wewe ujinga ni kujifanya unajua wakati hujui, chutama upewe uhalisi wa mambo acha upunguani wewe, nimeshakupa homework ya kufanya, ifanye ndio urudi hapa, unajiaibisha dogo.
 
Back
Top Bottom