Recent content by Dudutamu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu simwelewi

    Baadhi ya wadada wana tabia za kiswazi,, maybe alivyoona umemsaidia akaona ts the right time ajisogeze sasa,, probably aliitamani sana hyo nafas.. Ndo shida ukimsaidia mtu kdogo atataka ajue hata pichu gani umevaa,,
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nakosa cha kuongea na mpenzi

    Changamka wewe.. Kijana unashindwa cha kuongea! maajabu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wapenzi lakini hatujawahi kuonana

    Ulishaskia wimbo wa z anto. Mpenz jini weye!! take care
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tumemwagana lakini amegeuka kero

    Namba yake unabaki nayo ya nini mkuu!!?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Yamenifika hapa! Nimeenda nje ya nchi kusoma, kanitumia ujumbe kapenda mwingine

    Huyo hakukupenda jamani pole,, ipo sku award and akirud nawe mjib,, um sorry it's too late
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kanizalisha, ananibana kufanya mambo yangu na hana mpango wa kunioa, Nifanyaje?

    We dada just try to move on.. Una mwaka hujamuona? Matumiz less, wivu full.. Ye anagonga huko we anakufanyia sim za ghafla.. He's such a selfish.. USIMCHEKEE..SIMAMA. Atakukondesha
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa hapa mnijuze

    Alikua anapima upepo wa kusi.. Mtu kama huyo mtam sana kama nawe ulkua unamtafutia pa kutokea. Na ndo mwenyew kaingia kingi wallahi mbona shegaa.. Hajui Gas haitishiwi kiberitii eeh..
  8. D

    JamiiForums Tanzania Sijui nilikua sawa na maamuzi niliyoyachukua?

    Askwambie mtu hata kumsonohesha mwenzio akatoa chozi,, ni moja ya laana,,
  9. D

    JamiiForums Tanzania Jamani nina pepo la kukataliwa

    Umri wako ni kati ya miaka mingapi mkuu, labda naweza kukusaidia jambo
  10. D

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke hataki kufanya usafi

    Usimlaum sana maybe background nayo inaweza kuwa Tatizo. 1.. Possibly X boyfriend wake alikua hapendi anyoe so tabia ikawa sharia.. 2.. Uchafu tu 3.. Swags 4.. UVIVU.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kujua nichague yupi

    Hahaha bas huyo nae mkare Koz mwanaume anasifiwa Kwa kumtunza mke. So kama hapo modo tu ana dalili means ukimpta mautram atapata zaid ya huyo mweny mkia.. Naturaleee
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kujua nichague yupi

    Je huyo mwembamba ana dalili ya kuwa na kijimkia???
  13. D

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anaetaka kuja Shinyanga.. PM me
  14. D

    JamiiForums Tanzania Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

    Ukitaka kumkosoa akiyekosea ni Lazima uoneshe kosa na urekebishe.. Sasa we unasema amekosea afu huoneshi... Watu bwana. Mbona wachina Badala ya kusema kisima akasema, ki.....*.. makofi mnapiga..
  15. D

    JamiiForums Tanzania Chombezo: Chachandu za Beka wa Tanga

    Daah Ebwana weh
Back
Top Bottom