kijana mkimya
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 277
- 121
- Thread starter
- #21
Kama unakata tamaa kwenye maombi?????basi nenda kwa waganga si unataka tukupe ushauri wa kijinga kama huu
teh teh dah we jamaa wee. anyway nimekusoma
Kama unakata tamaa kwenye maombi?????basi nenda kwa waganga si unataka tukupe ushauri wa kijinga kama huu
Aisee duh we unashidaaa aisee.
We utakuwa BONGE LA MWOGA
Acha woga aisee.
Nenda kwa Ngwajima au Slaa..hii hali inanihuzunisha sana. mwaka wa tatu sasa nataka kuoa lakini inashindikana. kama sijapata kikwazo toka kwa wazai basi nitapata kwa binti. mara nne nilikuwa nimemaliza process zote za kufanya harusi lakini siku ya harusi mabinti wanakuwa wanakimbia, harusi inaahirishwa na hapo ndo unakuwa mwisho. mara nyingine wazazi wa binti wanakuwa hawakupendezwa na mimi. mara nyingine wazazi wanakubali ila binti anakuwa hanipendi. sasa wakuu sasa nimetokea kumpenda mdogo wa rafiki yangu, nimemueleza hisia zangu lakini hajanijibu chochote yapata wiki sasa. inafikia kipindi nakata tamaa nahisi ni yaleyale ya kukataliwa. mi ni kijana wa dini ninamaisha yangu japo sio tajiri lakini nina maisha ambayo watu wengi wanayatamani. wakuu nifanye nini? sasa nimepoteza Imani kabisa.
Hata sijui unaogopa nini.poa ndugu
naona watu wananishauri aombi tu. shukran kwa ushauri wenu. jamani nimefanya sana maombi. nimekata tamaaa!
hii hali inanihuzunisha sana. mwaka wa tatu sasa nataka kuoa lakini inashindikana. kama sijapata kikwazo toka kwa wazai basi nitapata kwa binti. mara nne nilikuwa nimemaliza process zote za kufanya harusi lakini siku ya harusi mabinti wanakuwa wanakimbia, harusi inaahirishwa na hapo ndo unakuwa mwisho. mara nyingine wazazi wa binti wanakuwa hawakupendezwa na mimi. mara nyingine wazazi wanakubali ila binti anakuwa hanipendi. sasa wakuu sasa nimetokea kumpenda mdogo wa rafiki yangu, nimemueleza hisia zangu lakini hajanijibu chochote yapata wiki sasa. inafikia kipindi nakata tamaa nahisi ni yaleyale ya kukataliwa. mi ni kijana wa dini ninamaisha yangu japo sio tajiri lakini nina maisha ambayo watu wengi wanayatamani. wakuu nifanye nini? sasa nimepoteza Imani kabisa.
Unajipenda,mtanashati,unaenda na wakati na fashion au umekaa kizee,una swagg kweli wewe,unajua kuongea kupanga maneno matamu halafu sio unamtongoza unahisi kakubari tupa ndoano Kwa wengi sio mmoja ukishindwa vyote mwaga pesa tumia helaaaaaa jombaaa uwaone
hii hali inanihuzunisha sana. mwaka wa tatu sasa nataka kuoa lakini inashindikana. kama sijapata kikwazo toka kwa wazai basi nitapata kwa binti. mara nne nilikuwa nimemaliza process zote za kufanya harusi lakini siku ya harusi mabinti wanakuwa wanakimbia, harusi inaahirishwa na hapo ndo unakuwa mwisho. mara nyingine wazazi wa binti wanakuwa hawakupendezwa na mimi. mara nyingine wazazi wanakubali ila binti anakuwa hanipendi. sasa wakuu sasa nimetokea kumpenda mdogo wa rafiki yangu, nimemueleza hisia zangu lakini hajanijibu chochote yapata wiki sasa. inafikia kipindi nakata tamaa nahisi ni yaleyale ya kukataliwa. mi ni kijana wa dini ninamaisha yangu japo sio tajiri lakini nina maisha ambayo watu wengi wanayatamani. wakuu nifanye nini? sasa nimepoteza Imani kabisa.
maombi nafanya sana mpaka nimekata tamaa.