Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,016
- 177,326
- Thread starter
- #21
Sijui inakuwaga ni "pepo", hakyanani me sielewagi. The moment umechoka kumbembeleza, umekomaa mwenyewe ushaanza kumsahau ndo unaona mtu huyo na milonjo yake. Baby baby nyingi, afu bahati mbaya ule upendo wa awali ukipotea kuurudisha ni wachache sana ndo wanawezaga. Yani unabaki kujiuliza kuna kipi kipya kilichomrudisha. You just listen to your heart my dear basi
mi nashangaa hapa hata sielewi mtu unaeza kujishusha eeeee mpaka wewe mwenyewe ukajiona mjinga ndipo inapokuja point of no return limtu ndo linataka kujirudi hapana kwakweli inakeraa