Hi wanaJF , niko Dar es salaam nimegraduate mwaka 2012 public administration na sina kaz ila nna kiosk(kiduka) chenye km milion moja na laki nne nna uhakika wa mkopo wa milion moja na laki tano mwez wa nne mwanzon. Naomben ushauri kati ya haya
1. Ninunue lain ya mpesa na tgo pesa na kwa biashara...
Hi wanajf ushauri tafadhal, mm niko Dar es salaam nimegraduate public administration mwaka 2012 ajira imekuwa ngumu hvyo naendesha biashara ndogo uswahiln(kiduka) chenye thaman km 1,400,000. ila nna uhakika wa mkopo wa milion moja na laki tano mwanzon mwa mwez wa nne. nifanye kp kati ya haya...
Hi wanajf naomba ushauri wa kifikra katika kujiendeleza kiuchumi kwan nina 1,500,000 na nina mpango wa either kununua boda boda niifanyie kazi mwenyewe au ninunue lain ya mpesa na tigo pesa nitoe huduma hiyo. nimegraduate ila ajira ni n shida. Mawazo yenu yatansaidia
of all political assasinations, the death of Gaddafy to my was like pouring acid to a healing wound. kiukweli iliniuma hasa baada ya kuasses uongoz wake na legtmacy from Libyans to this icon. kwangu atabaki kuwa reformist, legend, hero and everlasting comrade. 30 years to come the situation in...
walokole in principle ni protestants mm cwatofautishi sana na lile jeshi lililopigana na malaika mbinguni na hatimaye likatupwa motoni kwa ghadhabu ya Mungu. wakiwepo utaskia viwanda vya pombe na sigara viondolewe, kuwe na std ya sadaka, na na vtu km hvo
usijone una bahati ndugu kwa kukubaliwa na kila unayemtongoza kwa navojua kukataliwa na mwanamke sio common thing endapo ww umeinvest nguvu zako kwenye upuuzi huo tena ushasema mfuko uko vzur hii inaonyesha ni vp unathamini uchi. you have nothing special to them ila tu ww ni mtumwa wa ngono na...
Nenda na leseni yako ya biashara vodashop yoyote utapata maelezo kamili ingawa kimtaan kuna watu ambao pia wana hzo line wanauza ila utakua unatumia jina lake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.