Wadau naombeni msaada, nataka nijisajili na huduma hizi. Pia nakumbuka mwaka jana aljitokeza mdau mmoja mkazi wa mwanza humu ndani aliweka email yake kwa wale wanaotaka kuanzisha huduma ya m-pesa ili waweze kujisajili, naomben ile email maana nmekamilisha vigezo na ile email yake nmeipoteza.
Msaada kwa hilo plz!
Msaada kwa hilo plz!