Recent content by DSM

  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: nataka kulikomboa na kulirudisha jimbo la Ismani mikononi mwa wananchi

    jamaaa atakuwa ameunganisha buku, hana ajira ndio anataka kufanya ujasiriasiasa, tutakuwa wengi sana 2015, umewahi sana kujitangaza wenzako bado tupo underground, tunazichanga kimyakimya
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kinana apiga marufuku 'uheshimiwa' ndani ya CCM

    Ndugu Candid Scope samahani kwa kukuambia ukweli huu, unatujitumikisha vibaya hujui na ufahamu kwamba jamii yetu ya sasa hivi ni waelewa sana na hatudanganyiki kwa cheap politics ambazo zimekuteka nyara,any way sijui unalipwa sh ngapi,tafadhali sana na wewe usije kuwa ni kati ya wale wachache...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Dodoma na Unafiki wa Viongozi Wake

    wagogo washamaba sana hapa mjini 2015 lazima tuweke mbunge wa chadema, wa ccm watakuwa kama maloloe bugos mp na BSc yake ya online
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kinana apiga marufuku 'uheshimiwa' ndani ya CCM

    Nadhani ingekuwa busara kwa yeye kutmka kwamba atashauri chama chake chenye wabunge wengi waibadilishe hiyo sheria kwanza kabla ya kukurupuka kukemea hao viongozi wasiitwe hivyo kwa sababu kuitwa hivyo ni haki yao kisheria. huyo mzee amekurupuka akiri tu kwamba amepotoka. ndg yangu candid scope...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kinana apiga marufuku 'uheshimiwa' ndani ya CCM

    amekurupuka kutoa hiyo kauli yake, suala la kuitwa muheshimiwa lipo kisheria kuna sheria ilitungwa nitaitafuta na kuiweka hapa ambayo inaitwa The Honourable Act, sheria hii inakama page moja hivi na inatamka kwamba majaji wote na mahakimu wa ngazi zote wataitwa waheshimiwa,viongozi wote wa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila ampa tabu Thabo Mbeki

    Lets call a spade aspade and not a spade a spoon. ni kweli Mzee Mbeki alifiwa na mtoto wake aliyefariki kwa Ugonjwa wa Ukimwi ambao kwa mtazamo ma Mzee Mbeki kwamba ugonjwa huo unasababishwa na umasikini na sio virusi vya ukimwa. Sasa mbona mtoto wake ambaye alikuwa tajiri alikufa kwa ukimwi...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Picha: Ziara ya Kinana Geita

    Hoa wakeleketwa wajasiliamali wachovyu kweli? Wanamuita Nape Mhe, wapi na wapi. Na huyo katibu mkuu wa chama naye kachemka kweli kweli kukataza viongozi wa chama cha magamba wasiitwe waheshimiwa eti waitwe ndg. Sijui hajui kwamba kuitwa Mheshimiwa ni Suala la kisheria, Kwa mujibu wa sheria hiyo...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Finally: Hongereni Wana-CCM Online!!

    Mimi naishi Mvumiii Makulu Dodoma kwa sasa sitegemei kwenda huko USA na nina miaka 31 na ni kijana na ninajitambua hivyo. Ninasema hawa watu wa sampuli hii ya akina Wiliam Malecela na wewe wenye mtazamo huo wa kwamba huko USA miaka 50 bado ni vijana, ni watu potofu, hivi kwani katiba ya uvccm...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila ampa tabu Thabo Mbeki

    Ninamsoma sana mkumbo na bahati mzuri namuelewaga sana. Kwa kumuuliza swali hilo Mbeki ambalo kusema kweli alistahili kwa mtazamo wake kwamba ugonjwa wa Ukimwi unasababishwa na umaskini. Sasa kitila alitaka kujua kama msimamo wake unaendelea hivyo kufuatia kifo cha mtoto wake,ambaye kwa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Finally: Hongereni Wana-CCM Online!!

    Ni mzee lakini hajitambui analazimisha ujana, siasa za ccm kazikwelikweli watu kwa kulazimisha ujana,wengine hadi wanafoji umri
  11. D

    JamiiForums Tanzania Finally: Hongereni Wana-CCM Online!!

    Watu wa rika la William Malecela sio vijana. Wanalazimisha kuitwa vijana wakati umri ushawatupa.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Finally: Hongereni Wana-CCM Online!!

    hadi hapa hakuna hata mmoja aliyekuunga mkono Wiliam, ona jinsi chama chako kilivyodhaifu sana kwenye mitandao hoja yako haijatetewa kabisa sanasana naona imepingwa hadi na mwanaccm mwenzako. Kwa kifupi nawashauri vijana wenzangu wengine tuachane na ccm kijifie chenyewe na wazee wake kama akina...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwa Hotelia yeyote na anayependa kafanya kazi ya hotel porini!

    hizi kazi mbona zilitangazwa hapa hapa jamiiforums, ngoja tukumbushane na mimi nilishazionaga embu chekini hiyo page https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/356673-kwa-hotelia-yeyote-na-anayependa-kafanya-kazi-ya-hotel-porini.html
  14. D

    JamiiForums Tanzania Dr.Edward Hoseah ataka kuletewa ushahidi mezani,kuhusu rushwa

    Waziri wake Mkuchika nae anakurupuka eti wenye majina wa watz wenye akaunti nje wampelekee. hivi mzee wa vijisenti si alikiri kabisa kwamba yeye anavijisenti mbona hawajamfanya chochote. waache usanii wao
  15. D

    JamiiForums Tanzania Picha: Kinana aripoti rasmi ofisi za CCM lumumba - Dar

    huyu mzee si alisema nachana na siasa ,du kweli ashibaye hamkumbuki mwenye njaa, halfu ile kamapuni yake ya clearing and forwarding iliyosafirisha meno ya tembo ambayo yalikamatwa hongkong kesi yake imeishia wapi? manake na juzi imekamatwa shehena nyingine ya meno ya tembo hukohuko hongkong...
Back
Top Bottom