Recent content by Dr sindanochungu

  1. Dr sindanochungu

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuandika notice kwa wapangaji

    Plz naomba kama kuna Mtu anafahamu flow ya uandishi wa notice ili wapangaji kuachia chumba
  2. Dr sindanochungu

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kusema, kosa kubwa alilofanya Mungu ni kuwaumba waafrika

    Kwakwl swala la kushangilia si zuri lakini swala la uumbaji tusimkosoe mungu
  3. Dr sindanochungu

    JamiiForums Tanzania Niambie kituko kimoja ushawahi kutana nacho kwenye filamu za bongo, mimi nilikutana na hiki...

    Miguu ya mchukua video inaonekana mpaka nkajiuliza miguu ya nanii.
  4. Dr sindanochungu

    JamiiForums Tanzania Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Mungu yupo kabisa...hebu jaribu kuangalia ukuaji wa kila kiumbe...tokea upo tumboni,unapozaliwa mpaka unapozeeka. kuna nguvu inayosukuma hivyo vitu kutokea si bure .
  5. Dr sindanochungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke anapenda mapenzi kuliko kawaida mpaka nakuwa mtoro kazini

    Duh mkuuu upewe nn...au kavp ajiri house boy hapo
  6. Dr sindanochungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kwa msichana aliyepo chuo kikuu 2nd year kuwa bado ni bikra?

    Yeh wapo...ila chelewa chelewa utakuta mwana si Wako
  7. Dr sindanochungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa JF mnaweza kufanya hivi?

    Duh mbona mada yako no jipuuu
  8. Dr sindanochungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanga mbali lakini nitakuja hata kwa miguu

    Hapo mbona Kama India vile..
  9. Dr sindanochungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anatafuna meno usingizini

    AKitafuna nawe tafuna ...ngoma drooo
  10. Dr sindanochungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kukosea namba kwanipa msichana bikra

    Aysee mbona unatoa siri sasa ..wewe utakuwa hujafanya kitu .
  11. Dr sindanochungu

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Choonaa...doctor stranger ni jipuu...hata inavyomalizika tu..baba hivi yule mchiz wa binchum manual(dance in the sky)...alipiga ule mzigo tuu au kuna mingine
  12. Dr sindanochungu

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Doctor stranger ni jipu sana...yan kila dakika surgery mpaka ina boa duh..angalia kitu cha may queen mkuu halaf rudisha majibu
  13. Dr sindanochungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu amekuwa haniheshimu

    Kama kaanza hizo mixhe akiwa mjamzito...mfikirie huenda ujauzito wake ukawa ndo source...kama ndo alivyo pasi na ujauzito Huyo ni wa kutemana nae hana maana
  14. Dr sindanochungu

    JamiiForums Tanzania Shairi: Kile kitu cha usiku

    Hujui mkuuuu ...ukibalehe utajua
Back
Top Bottom