Ushauri: Mke wangu amekuwa haniheshimu

Ushauri: Mke wangu amekuwa haniheshimu

Kwanza poleni na majukumu,

Wadau, karibu miaka 3 sasa naishi na mke wangu toka nimuoe mpaka tumebahatika kupata mtoto moja na mpaka sasa ni mjamzito. Kwa mwaka mmoja baada ya ndoa tumeishi vizuri sana kuanzia hapo mambo yakabadilika.

Kwa mke wangu amekuwa ni mtu ambae anaweza ongea chochote anachojisikia bila kujali mimi ni nani kwake, amekuwa akishirikisha sana familia yangu kwa kutukana wazazi wangu ndugu zangu, yaani kifupi hana heshima hata kidogo kwa mtu yeyote yule. Natamani nimwache hata leo ila nahofia watoto.

Basi napagawa maana nimekuwa mtu wa kuwaza muda wote kufikia hatua hata ya kufikiria kufa maana anaboa kinoma.

A little slap on the cheek would work miracles i promise you
 
Wazazi wanajua tabia ya mtoto wao
Yaani hata wazazi wake hawaishi vizuri na mtoto wao anaweza kuchambana hata na mama yake
kama ni hivyo basi hapo imekula kwako, mtu anaeweza hata kutukanana na wakwao huyo sio, ila nna swali moja kabla hamjaoana hukumjua vzr? manake umesema mwanzoni mliishi vzr lakini mtu mwenye tabia mbaya hata kama hakufanyii wewe lakini kwa kuona anachofanya kwa wengine lazma ujiepushe nae mana kuna msemo kwamba ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji
 
Ni aibu Muislam kuleta lalamiko kama hilo kwenye kadamnasi, mpaka leo hujajua kwanini Muumba wako kakupa ruhusa ya ” kuvuta vitu viwili au vitatu au vinne " ? Au ulifkiri yeye hawajui udhaifu wa viumbe zake ? Create competition bana uone kama kelele zitaendelea kuwepo. Period.
 
Kaka embu jaribu kujichunguza wewe mwenyewe.. vip unamrishisha mwenzio kitandani...?
Je mawifi hawampendi..?
Je unamsimamo wewe kama mwanaume?..
Haya maswali ya msingi sana lakini mwanamke kutukana wazaz haihitaj hata msamaha mm tungeachana tu km kashindwa kuheshm mzaa chema
 
Kwanza poleni na majukumu,

Wadau, karibu miaka 3 sasa naishi na mke wangu toka nimuoe mpaka tumebahatika kupata mtoto moja na mpaka sasa ni mjamzito. Kwa mwaka mmoja baada ya ndoa tumeishi vizuri sana kuanzia hapo mambo yakabadilika.

Kwa mke wangu amekuwa ni mtu ambae anaweza ongea chochote anachojisikia bila kujali mimi ni nani kwake, amekuwa akishirikisha sana familia yangu kwa kutukana wazazi wangu ndugu zangu, yaani kifupi hana heshima hata kidogo kwa mtu yeyote yule. Natamani nimwache hata leo ila nahofia watoto.

Basi napagawa maana nimekuwa mtu wa kuwaza muda wote kufikia hatua hata ya kufikiria kufa maana anaboa kinoma.
Acha upumbavu jitambue, heshima itarudi.
 
Mkuu hiyo ni kwa ajili ya ujauzito alionao..kwan saikolojia hua inabadilika na wengi hufanya mambo yasiyo mazur hivyo nakuahid atabadilika akishajifungua kuwa mvumilivu,be a man, be strong
 
Mtu wa kunitukania wazazi wangu (R.I.P Mzee Isack na Mama Werasia), sitakaa nimpende maisha yangu yote.
Japo hawapo hai ila bado nina mapenzi makubwa kwao.
Mamdenyi sasa nimekufahamu!!!
 
Kama kaanza hizo mixhe akiwa mjamzito...mfikirie huenda ujauzito wake ukawa ndo source...kama ndo alivyo pasi na ujauzito Huyo ni wa kutemana nae hana maana
 
Mi nadhani kuna haja ya kuwa na makungwi wa kuwafunza wanaume kuishi na wanawake kwenye ndoa maana naona malalamiko yamekuwa mengi sana kwa wanaume kupelekeshwa na wanawake kwenye ndoa.Jana tu nimetoka kupewa kisa cha mtu ambaye amefariki kutokana na maradhi yanayohisiwa yamesababishwa na manyanyaso ya mkewe.
 
PIGA CHINIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII PWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Mkuu hakuna utani wa namna hiyo ni miaka 2 sasa naishi kwa tabu mpaka najuta hata kukutana nae

Kama mimi potelea mbali ningemwachia nyumba ningeenda panga chumba kimoja , niishi zangu kwa raha, haya mambo ndo yanatufanya Tanzania tuwe wa mwisho kuwa na furaha
 
Achana nae,vuta kitu kipya fasta. Wanaume tunachukua maamzi magumu,we bro vp!
 
Kwanza poleni na majukumu,

Wadau, karibu miaka 3 sasa naishi na mke wangu toka nimuoe mpaka tumebahatika kupata mtoto moja na mpaka sasa ni mjamzito. Kwa mwaka mmoja baada ya ndoa tumeishi vizuri sana kuanzia hapo mambo yakabadilika.

Kwa mke wangu amekuwa ni mtu ambae anaweza ongea chochote anachojisikia bila kujali mimi ni nani kwake, amekuwa akishirikisha sana familia yangu kwa kutukana wazazi wangu ndugu zangu, yaani kifupi hana heshima hata kidogo kwa mtu yeyote yule. Natamani nimwache hata leo ila nahofia watoto.

Basi napagawa maana nimekuwa mtu wa kuwaza muda wote kufikia hatua hata ya kufikiria kufa maana anaboa kinoma.
Mkuu wanaume huwa tuna maamuzi magumu lakini si kwa kitendo cha kutaka kufa.

Kutaka kufa sikwamba utakuwa umetatua tatizo hapo cha msingi mtafute mshenga wako akukutanishe na wazee wake kwa kauli ambazo anatoa na hata kama ni mja mzito hatakiwi kukutusi labda kama na wewe utakuwa na matatizo ila kiufupi Ndoa huwa ni uvumilivu lakini si kwa kuvuka mipaka kiasi hicho
 
Kwanza poleni na majukumu,

Wadau, karibu miaka 3 sasa naishi na mke wangu toka nimuoe mpaka tumebahatika kupata mtoto moja na mpaka sasa ni mjamzito. Kwa mwaka mmoja baada ya ndoa tumeishi vizuri sana kuanzia hapo mambo yakabadilika.

Kwa mke wangu amekuwa ni mtu ambae anaweza ongea chochote anachojisikia bila kujali mimi ni nani kwake, amekuwa akishirikisha sana familia yangu kwa kutukana wazazi wangu ndugu zangu, yaani kifupi hana heshima hata kidogo kwa mtu yeyote yule. Natamani nimwache hata leo ila nahofia watoto.

Basi napagawa maana nimekuwa mtu wa kuwaza muda wote kufikia hatua hata ya kufikiria kufa maana anaboa kinoma.
Mkuu mkeo saizi ni mjamzito, kwahiyo vumilia tu hivyo vitimbi
 
Mkuu endea tu kulilea hilo bomu...siku likikulipukia ndio utajua kwa nini wanasema Dunia sio mbaya ila walimwengu ndio wabaya....

Unaishi na mwanamke pasua kichwa hivyo halafu bado unamvumilia?? Unasubiri mtu aje akukaze hizo nut zilizolegea kwenye akili yako huko kichwani ee ndio uchangamke...
 
Haya maswali ya msingi sana lakini mwanamke kutukana wazaz haihitaj hata msamaha mm tungeachana tu km kashindwa kuheshm mzaa chema
Kaka ni kweli... yaan hata kama hakupendi vip, kama imefikia hatua ya kumtukana mzazi huko atakuwa ameenda mbali...
Cha msingi ni kuhoji kwa nini anafanya hivyo... kama auatakuwa haeleweki... talaka a.k.a red card itatumika
 
Back
Top Bottom