Dr sindanochungu
Member
- Nov 7, 2016
- 59
- 37
Fid mkali ayseer!!!
Ney wa Mitego kwa mara ya kwanza amewafanya viongozi wooooote na watanzania wooote wasikilize Hip Hop bila kupenda. Nampongeza sana!!hip pop ni kuongea ukweli...
nay wa mitego ndio best hip pop artist in tz
Heshima kwako Mkuu,Hahahahah.. Dizasta hatari sana tena zaidi ya sana... Sema nn watu sio wana HIP HOP ni wapenzi wa HIP HOP...
Ukiishi HIP HOP kama maisha yako ya kila siku utafurahi sana.
Na hapa ndio utajua kwann KRS MOKO "Taecha" alisema nguzo zipo Tisa, aliongeza...
1.Street Entrepreneurship... Angaika upate msosi kupitia hip hop.
2.Street Language.. Watu wa mtaa tuna lugha yetu na iko shkopa ile kimeno meno askari wangu
3.Street Fashion... Vaa ki-Hip Hop na utapendeza sana
Mixer na zile mingine...
Dizasta ana lile jiwe linaitwa Sista... Anakuambia sista kadata sista ana mori/ sista anataka nimuite shori..
Kad go-kad forward,kad twende, kad kalandinga,kad ya mchezo.Kadugo
Ukitaja conscious please usimuweke Ney wa Mitego.Ney Wa mitego
Anajua kutoa vitu kulingana na nyakati
UPO vizuri Mkuu,1. Mbwa
2. Ngosha
3. Makalla
4. Uno
5. Wa ukoo
Nikk nashindwa nimweke wapi. Anachowashinda wote hawa ni kakamilika yeye. Swaggs zipo..freestyles..na vitu vingine.
Ila kuna huyu mtu alishapotea duniani f. Nelly. Salute Kwake
Nash Mc!Hip Hop Heads...
Nash Mc
JCB
Chindo Man
Dizasta Vina
Nikki Mbishi
Papaa Mafido
JayMoe
Rapper ninayemkubali... HarmoBolt.. a.k.a HarmoRapper
Mzee Golden Age Technique!?
Nikki mbishiKuna dogo aliimbaga ule wimbo 'kichaa cha mbwa ni kama cha panya buku....cha panya buku...nzeiyaa nzeiyaaa...'
Namkubali sana
Nikk next level mkuuUPO vizuri Mkuu,
Nikki mbishi hata Mimi huwa napata wakati Mgumu katika orodha yangu.ukipata kusikiliza nyimbo zake nyingi utangudua Jamaa karibia kila nyanja yupo vyema.
Huku tunatoa kucha, tunang'oa meno/
Unaweka sawa kwa vitendo ukizugua kwa maneno/
Para mpole machoni usoni ni popo bawa.
---- mabwepande noooma--
Yap-yapNikk next level mkuu
Sema kabadilika saanaYap-yap
Heshima ya kweli Baba nyumbani Misosi Mezani.
Ukipata muda musikilize Fid q hasa wimbo wa Siri ya Mtungi .Nampenda Nikki wa pili nafahamu nyimbo zake mbili tu ule sweet mangi na kipindi kilee ule higher