PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,178
Huwa humnunulii nyama hasa nyama choma so anafikisha ujumbe kwa hisia mno




Huwa humnunulii nyama hasa nyama choma so anafikisha ujumbe kwa hisia mno




hii ni mbegu karne,haijalishi mgumba wala mjane!Karibu sana hakikish mbegu unayotak kupanda iwe imekomaa
Ndo wew nini maana avatar inahitaji nyama
duuuh hapana kwakweli sio mmAfadhali maana ungekuja kula pm sasa ivi![]()
![]()
duuuh hapana kwakweli sio mm
Nimecheka kwa Sauti....Atakutafuna siku moja ohoooo
Tukutane kwa madiba itakuwa poa zaidhii ni mbegu karne,haijalishi mgumba wala mjane!
sema wapi tukutane,ghetoni au chumbane..?
ni ukweli ujue, mwambie ale dagaa kwa wingi aache hizo tabia za kutafuna menohana madini ya calcium
huna madini ya calciumHii hata mie huwa inanitokea Mara moja moja sana... Ni kawaida tu kama kukoroma..
perhaps atakua mfuasi wa miraaNatumaini ni wazima,
Nina mpenzi wangu ni mzuri tuu ila usiku ndiyo ananiogopesha sana. Kuna siku aliomba kuja kulala kwangu mie nikamkubali ila cha kushangaza usiku wa manane nikashituka nikakuta anatafuna meno. Yaani kama kuna vitu anatafuna hivi na meno yanakuwa yanakuwa yanatoa sauti tu.
Sasa nilikuwa naomba mwenye tiba au mwenye kujua njia ya kuyazuia au kuzuia hii tabia maana hadi saizi naogopa sana kulala naye tena na nilitest mara tatu nikagundua ndivyo alivyo.
Msaada tafadhali
poa leo lkn punguza kelele!Tukutane kwa madiba itakuwa poa zaid
Kelele tenpoa leo lkn punguza kelele!
Eee.. we unaonaje..?Kelele ten
Hebu tuondoke huku kun watu wengEee.. we unaonaje..?