Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,237
Ila kuna kaukweli fulani....mfano lipumba ni professor lkn angalia anachofanya......Kusema wazungu wameturoga hapanaKwa hakika tuko tofauti, hili halina ubishi. Nimeishi na watu kutoka mabara yote (Europe, Asia, America, Latin America, Australia na Afrika). Nimejiridhisha kwa asilimia 200 shida ipo kidogo kwa hii ngozi yetu regardless anaishi wapi na ana elimu gani.