Recent content by Dr mendez

  1. Dr mendez

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumeahajua Wanawake wanatupendea Pesa ?! Tunafanyaje kuhusu hili.....

    Kwa upande wangu naona wapo sawa sababu ukiangalia maisha ya sasa sio kama ya zamani saiv ni kisasa mno kila kitu kina hitaji pesa
  2. Dr mendez

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumjua mwanamke mwenye mapenzi ya dhati

    Hiki ni kizazi jeuri kila mtu saiv mbabe kwenye mapenz Anaekupenda kwa dhati ni mama ako tu
  3. Dr mendez

    JamiiForums Tanzania Nikupe Siri kuhusu UKIMWI

    Idadi nyingi ya wahathirika ni wale wote wanaojifanya wanajua sana maswala ya afya
  4. Dr mendez

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Rafiki ambaye nimemwona anafaa kwangu

    Kila mwanadamu na mapungufu yake. yeye mwenyewe na mola ndo anajua [emoji444][emoji445][emoji445][emoji445] Jipe moyo usikate tamaa kumbuka tunaishi kwa nguvu za mola[emoji444][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
  5. Dr mendez

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usije ukaoa au kuolewa Kwa sababu unampenda na hutaki kumpoteza

    Si ndo tulio ingia shimoni kabisa asa tufanyeje jamani ???[emoji86][emoji86][emoji85]
  6. Dr mendez

    JamiiForums Tanzania UUUUUUMH CHIPS

    Kande
  7. Dr mendez

    JamiiForums Tanzania Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

    Kubet najitaidi niache ila nashindwa kbx yani $$$$
  8. Dr mendez

    JamiiForums Tanzania Asali ni zaidi ya utajiri

    Mipango.ubunifu.hakiba.na malengo
  9. Dr mendez

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni bora uniombe pesa nitakusaidia kama ninayo, ila sikuniomba usafiri halafu mafuta utumie ya kwangu.

    Daima mpe asiye kupa ukimpa aliye kupa ujampa bali umemlipa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Dr mendez

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MAPENZI YA MBALI

    Mzigo mange@@@@### Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Dr mendez

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ostomyelitis unavyo nitesa

    Nashukuru sana ngoja niitafute hii Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Dr mendez

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ostomyelitis unavyo nitesa

    Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Dr mendez

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ostomyelitis unavyo nitesa

    Ugonjwa wa mifupa unaitwa ostomylitis [ bone infection] kuhusu umri ni miaka 22 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Dr mendez

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ostomyelitis unavyo nitesa

    Ngoja nijalibu hii Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Dr mendez

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ostomyelitis unavyo nitesa

    Asante sana Mr. kichakoro kuhusu sukari sijawai ambiwa kama ninayo kwani kabla ya operation ya kwanza pale muhimbili walinifanyia vipimo vyote vya awali na awakunyambia kama Nina sukari Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom