Huyu ndiye Rafiki ambaye nimemwona anafaa kwangu

Kila mwanadamu na mapungufu yake. yeye mwenyewe na mola ndo anajua

Jipe moyo usikate tamaa kumbuka tunaishi kwa nguvu za mola
 
This doesnt work kwa kila mtu. Ukianza na matusi utaendelea nayo sitakuwa na muda wa kujibu. Why nihangaike?

Iko hivi boss, mtu anakutukana/anakuattack from no where ili uchukue attention nae ya kujibizana hasa opposite sex, mwisho wa siku ataapologize na kukuomba yaishe tu muwe marafiki. Hii technique inatumiwa sana humu...
 
Kuna vitoto vimo humu kaka angu. Vingi tu na havina malezi mazuri kwao.

Inawezekana mkuu. Mimi huwa sina tabia ya kuchat inbobo na hakuna manzi ninayejuana nae jf nzima. Siku hiyo kulikuwa na mada flani nkaamua kucomment na kutoa mawazo yangu na kama jf ya siku hizi ilivyo, watu hawataki kwenda kinyume na mawazo yao.

Hasa kuna watu nilibishana nao humu kikawaida. Bwana bwanaaa watu wakahamia inbobo ila nilishangaa sana.
 
Shida kubwa ya wengi ni malezi mabovu,ukosefu wa elimu na pia umaskini. Kuna wadada walikuja wanasema ntawachukulia mabwana/buzi zao humu ndani....i told them i dont need mbuzi...mimi mbuzi wa nini? Sifugi hata kuku itakuwa mbuzi. Na wamekuwa na chuki flani hivi

Na kingine watu ambacho hawajui kila mtu anamtazamo wake kwenye mada uliyoweka mwingine anaweza kuona ya kipumbavu au mwingine akaona ww mjinga mwingine akaona unashida kweli unaitaji msaada wa kimawazo kma ni msaada unaomba nk,nk. Watoa mada tujaribu kumuelewa mtu ata kama humuoni ila unaweza kutafsiri hisia zake
 
Kwanza hongera kwa kupata rafiki ni jambo jema...ila najua marafiki wamegawanyika kutokana na kazi zao, sio vizuri kuwa na rafiki mmoja maana hawezi jua kila jambo
Mfano mimi nina rafiki wa vifaa vya electronics najua nikihitaji simu,PC,Tv namcheki n.k na wengine wa kiusalama kama polisi na wanajeshi plus wanasheria and doctors nikiwahitaji nasaidiwa..
"A FRIEND IN NEED IS A FRIEND INDEED "
 
Shida kubwa ya wengi ni malezi mabovu,ukosefu wa elimu na pia umaskini. Kuna wadada walikuja wanasema ntawachukulia mabwana/buzi zao humu ndani....i told them i dont need mbuzi...mimi mbuzi wa nini? Sifugi hata kuku itakuwa mbuzi. Na wamekuwa na chuki flani hivi
I think walimaanisha mpenzi buzi si mbuzi bana mkuu
 
Shida kubwa ya wengi ni malezi mabovu,ukosefu wa elimu na pia umaskini. Kuna wadada walikuja wanasema ntawachukulia mabwana/buzi zao humu ndani....i told them i dont need mbuzi...mimi mbuzi wa nini? Sifugi hata kuku itakuwa mbuzi. Na wamekuwa na chuki flani hivi
You gotta be kidding!!
 
Mbali na hivyo vyote ulivyovitaja,cha mwisho na cha muhimu zaidi ni 6 kwa 6 uwe vizuri
 
1. Anajiamini ktk utambulisho wake hajataja kazi au vitu alivyo navyo, hajataja ana ufundi gani katika mapenzi n.k mwanaume halisi anajiamini vile utakavyomkuta alivyo kwa wakati wowote. Wamekuja watu wananambia wanafanya biashara,sijui wanasheria,sijui wanajua mapenzi n.k hawa sikuhangaika hata kuwajibu maana ni wanaume hopeless na wasiojiamini.

2. Ana lugha nzuri na ufahamu mzuri wa lugha. Lugha ni kipimo cha akili ya mtu iwe kiswahili au kiingereza.wale ambao wameonesha udhaifu pia sikutaka hata kuwajibu maana meseji zao tu zinatia kichefu chefu.

3. Ana akili za kiutu uzima, mwelewa...kuna tutoto tumo humu nato sijaona kama ngekuwa na muda wa kutujibu nimetuacha kama tulivyo.

Mwanaume anapaswa aoneshe uanaume wake kwa matendo na maneno ya kuonesha ukomavu kiakili na heshima kwa wanawake.ajue namna ya kukaa na mwanamke na kumweshimu.mimi nlitaka rafiki wa kiume.siyo mpenzi.

So waliokuja private wakitafuta mapenzi muda huo kwangu bado. Na ni mwanamke mpumbavu atakayetafuta mpenzi humu.but marafiki wapo toka zamani kulikuwa na pen pal kwa wale ambao wamesoma soma kidogo.

Anayekuja na kuji sifu kwa mali na pesa ni mpuuzi maana mimi nmekuwa naviona hivyo vitu.havinishtui na sihitaji vya mtu. Tutaendelea kuwa marafiki na kuheshimiana humu JF. Kwa wale ambao wanashughuli nyingine humu JF wao wafuateni na hizo gia zenu.

Pia nashukuru kuna akina dada, wasichana au wanawake wenye busara ambao tumechat nao wamekuwa kama dada zangu au rafiki zangu.

Siyo kila anayekuja JF ni desperate...no. others just come here to create friendship and socialize kama any social media. Why JF? nmekuja humu sababu if i make a friend ni a friend ambaye hajawahi niona.hajui background yangu, hatokuwa rafiki yangu sababu ya sura au umbo langu au uwezo wangu.

Rafiki ambaye hata akija kuniona nina sura mbaya au nzuri tutaendelea kuwa marafiki na siyo kuwa ataachana nami au sasa ndo ataongeza ukaribu.sitaki rafiki ambaye atakuwa nami sababu akitembea nami naye ataonekana.

So guys ....so boys are here and they should grow up. Lazima pia mbinu zenu ziendane na class ya mtu. Dont take every lady for granted.
Humu Unaweza kufanya friendship na mtu ukafikiri ni Mwanaume kumbe ni Mwanamke au ni Binti mwenzio, nahisi tu lakini.
Au wewe huwa unatambua vipi Kama huyu ni hivi na mwingine vile?
 
kuna

Kuna defensive mechanism umeijenga hapo mwshon ila uzur n wachache tulioelewa
 
Hizi mada nazipenda sana, nikiziona tu basi sina cha kusema zaidi ya kumtaarifu mtoa mada kuwa nimefurahi na sasa nimeingiza mkono mmoja kwenye kende naziminyaminya mdogomdogo, huku uswazi tunaita kukanda ngano.
 
Back
Top Bottom