Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

Aisee kwenye maisha kuna mambo ukizoea kuyafanya baadae yanageuka tabia, yanageuka hulka na mwenendo wa maisha.. *Addiction* ni moja ya vitu vigumu sana kuvikimbia..
Mimi hulka ya kunywa soda kila mara nimeshindwa kabisa kuiacha..
Hebu tuambie addiction yako ni ipi ???pengine tutasaidiana kuziacha..
kula ugali kila Sikh,hii kitu siwez acha kabsaaaa!!!
 
Sababu yoyote ile kuna mda natamani niwe mkavu usoni ila najikuta machozi yamefunika uso tayari.
Pole mkuu. Huenda una ugonjwa wa depression au sonona. jaribu ku gogle uone dalili zake kama zinaendana na unavyojisikia, kisha nichek inbox.
 
Hakuna maana nikiamua kuacha kitu naacha simple tu.
 
Sigara
Aisee kwenye maisha kuna mambo ukizoea kuyafanya baadae yanageuka tabia, yanageuka hulka na mwenendo wa maisha.. *Addiction* ni moja ya vitu vigumu sana kuvikimbia..

Mimi hulka ya kunywa soda kila mara nimeshindwa kabisa kuiacha..

Hebu tuambie addiction yako ni ipi ???pengine tutasaidiana kuziacha..

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
nyeto mkuu nimewah paka hadi pilipili mikononi lakini nilipiga nimewah hadi kuficha mafuta kwa jilani lkni nilienda kumgongea saa nane usiku.
 
Back
Top Bottom