Recent content by Dr Gustav

  1. D

    Nitakabidhi nchi kwa CCM: JK

    lazima aseme hivyo ,kumbuka alikuwa kwenye sherehe hata kama hali ni mbaya huwezi waambia watoto jamani chakula kinaisha kesho unajitutumua na kuwambia kesho gari litashusha magunia ya mchele
  2. D

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    matatizo ya kujikuta kwenye fani, bila kujiandaa ama kuganga njaa au ameikwaa
  3. D

    Tetesi madaktari kuzimua mgomo wao

    ngoja watu wawachangamshe viongozi labda watatoka kwenye usingizi mnono wakudhani wamekabidhiwa nchi ili wajineemeshe wenyewe huku wananchi wakitesekana,serikali ni kocha timu inaposhindwa kocha na wachezaji wanawajibika walimu wamechoka kutoa vilaza ngoja wadai haki yao nani hasiye taka...
  4. D

    Tetesi madaktari kuzimua mgomo wao

    hakuna nchi maskini labda wewe mwenyewe watu wana fedha nje ya nchi zaidi ya bajeti ya serikali ya mwaka usema nchi maskini ,ungesema nchi yenye watu waroho na wabinafsi ningekuelewa. Tanzania si maskini hata kidogo
  5. D

    Mbona makanisa hayamsaidi Kikwete Katika Mgomo wa Madktari?

    wamemsaidia kwa kumaintain waajiriwa wao
  6. D

    Hivi daktari ana thamani kuliko binadamu wengine???

    nakuombea ili akili yako wewe mleta mada hii ufunguke ufahamu wako mapema,maana watu kama nyie ndo mnaorudisha nyuma maendeleo ya nchi hii,hivi umeangalia hizo picha ulizowekewa hapo juu kweli wewe maisha hayo siutakufa mapema kwa sababu ya mazingira hayo,tatizo lako wewe hutibiwi huko ndo maana...
  7. D

    British medical journal wameandika hivi

    Ngoja twende rwanda tukafanye internship huko na ajira watatupa huko ,tuwaache nawana siasa wenu ,coz hata wananchi munaungana na serikali yenu kutugandamiza furaha yenu muone sie tunaishi maisha ya taabu ,kazi kwenu
  8. D

    Mgomo wa madaktari na dhana ya uwajibikaji

    unapozungumzia nidhamu cjakuelewa unamaanisha upande upi kati ya mwajiri na mwajiriwa,huwezi kuniambia niwe na nidhamu ya uwoga.fikria wewe ndo daktari mama amejifungua kitoto kiko salama mara wakati unajiandaa kumruhusu mama aende nyumbani unabaini mtoto kapata magonjwa mapya kutokana na...
  9. D

    Kwa madaktari tu:

    Unaota ,tumechoka kuona watu wanatufia mikononi mwetu huku hatuwezi kufanya lolote kisa vifaa,ukiambiwa katupigie ct-scan regency unadhani sie tuna ubia na hao private,ukianbiwa kwenye echo,na ecg watu ni wengi njoo mwezi ujao unadhani unatengenezewa zengwe la wewe kutoa rushwa ,ukiambiwa icu...
  10. D

    Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

    Wagonjwa waliopo wamekata tamaa..................rai Serikali iache ubabe waende LUGalo ,au mwananyamara ili wakapate referal kwenda AGHA KHAN
  11. D

    Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

    huyu kanyamazishwa baada ya kumwona mwenzake mwakyembe waliokuwa wote kwenye kamati ya Richmond kutolewa ngozi ,anajikomba
  12. D

    Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

    sasa hizo ICU za kwenu ambazo ventrator na ECG machine ni zakubeep tena za kichina mara zisome mara zikwame wataziweza wamezoea mazingira mazuri kama ulivyo onyesha kwa picha .
Back
Top Bottom