Nitakabidhi nchi kwa CCM: JK

Nitakabidhi nchi kwa CCM: JK

Kauli hii imetolewa na JK mjini Kigoma wakati wa sherehe za miaka 36 ya CCM....

"Nitahakikisha nina kabidhi nchi kwa mgombea wa CCM na si vinginevyo"!

KAMA RAIS WA NCHI, SALAAM HIZI MAANA YAKE NINI?!!

Atambue pia kwamba Tanzania ataiona chungu na The HAGUE itakuwa inamsubiri
 
Hivi bwana swai una ndoto za chadema kushinda urais?? Kuwa mkweli huwezi kutegemea ukoo mmoja usambae nchi nzima na kupewa nchi. Kighoma wameshasema hawachezi tena midundiko ya wapinzani wanataka uongozi si kupewa viroba orijino kurushia watu mawe

Inaonekana ndio kinywaji chako, maana, limjazalo mtu, ndilo limtokalo!
 
Ndio Slaa anataka hivyo lakini watanzania wameshatambua hilo, 2015 mkipata wabunge watano mshukuru mungu.

Chadema sio slaa tu,naona ww unamhanya slaa tu wapo vichwa kibao,safari hii hata mkichakachua formula itagoma maana kura zitakuwa nyingi za wapinza na tukikamata mtu na masanduku tunamaliza mchezo wenyewe badala ya polisi.
 
Kauli hii imetolewa na JK mjini Kigoma wakati wa sherehe za miaka 36 ya CCM....

"Nitahakikisha nina kabidhi nchi kwa mgombea wa CCM na si vinginevyo"!

KAMA RAIS WA NCHI, SALAAM HIZI MAANA YAKE NINI?!!

JK aka "fastjet" hana uwezo wa kuamua nani akabidhiwe Nchi! Unless kama Tanzania imeshakuwa ya kifalme, hapo ni sawa. Lakini kama wapiga kura tupo, sisi ndio tutakaoamua tumkabidhi Nchi nani wa Chama kipi. Inasikitisha sana kuona viongozi wetu pamoja na kwenda Marekani na Ulaya kila mwezi, hawajifunzi chochote kuhusu demokrasia!!!!!!
Siyadharau mawazo yake coz ni halali ili kuwadadaa mazuzu wa CCM ambao ni wajinga wakupindukia.
 
Kasema ukweli kutoka moyoni mwake kazi kwenu kujipanga. Yeye na wenzake wanajipanga kuhakikisha CCM inakabidhiwa nchi 2015... na keshawaambia sasa sijui tufanye nini isiwe hivyo...


Kwani Kikwete lini akawa Mungu!!?? Mwanaadamu lini akaumba na kuumbua!! Mungu pekee anayeweza kufanya anayosema na si vinginevyo!!
 
lazima aseme hivyo ,kumbuka alikuwa kwenye sherehe hata kama hali ni mbaya huwezi waambia watoto jamani chakula kinaisha kesho unajitutumua na kuwambia kesho gari litashusha magunia ya mchele
 
Kwani yeye ndio atakae pigakura peke yake?aiseme nafs yake lakini asilogwe kupokonya haki zetu kwani tutamsaka popote atakapo jificha ili awe wa mwanzo kujutia kauli zake.hivi huyu jamaa amekuaga mganga?kwa mwenendo wake wa kutojua wananch wanataka nini anataka kutuaminisha upumbavu.ashindwe na dawa yake inachemaka kha!niheri nife kuliko kuiruhusu ccm initawale tena
 
kauli hii imetolewa na jk mjini kigoma wakati wa sherehe za miaka 36 ya ccm....

"nitahakikisha nina kabidhi nchi kwa mgombea wa ccm na si vinginevyo"!

Kama rais wa nchi, salaam hizi maana yake nini?!!
acha kuwachokoza chadema.wataanza midadi buree.
 
Well said commander in chief lazima waufyate hao wakiruga
 
Kauli hii imetolewa na JK mjini Kigoma wakati wa sherehe za miaka 36 ya CCM....

"Nitahakikisha nina kabidhi nchi kwa mgombea wa CCM na si vinginevyo"!

KAMA RAIS WA NCHI, SALAAM HIZI MAANA YAKE NINI?!!
Ahsante sana maushahidi ya kumpeleka HAGUE list number 126 in my list! what about yours Jf members
 
uchovu wa kisasa na vitisho kwa ajili ya kushinda kisaikolojia. Asitegemee jeshi, hakuna wanajeshi wapuuzi kama yeye kwa sasa, kila mtu awe mwenjeshi au polisi wanaangalia maisha ya watu si viongozi. Ikiwa wanajeshi wetu watakailinda ccm basi wao nao wanastahili kupuuzwa na watakuwa wapumbavu wa kutupwa.
kulinda wezi kinyume ni haki ni wizi na laana
 
Nchi atakabizi atake asitake vinginevyo aamue kuwa kama Gadafi nguvu ya umma imchomoe chini ya madaraja kuja kukabidhi
 
Anamaanisha kweli mjue, huwa anasema hivi hivi, kwa kuwa alikua anaongea na uma alijua nini anasema, mjiandae kwa hali na mali watanzania kupigania demokrasia na si kucheka naye maana ukicheka na nyani utavuna mabua
 
Sikuhiyo hatutaogopa vitu vizito vyenye ncha kali tutakula sahani moja mpaka kieleweke
 
Akojoe akalale huyo kiwete! kama anategemea kuchakachua kama alivyofanya 2015. Safari hii damu itamwagika sana! yeye na chama chake wajiandae kukabidhi nchi kwa amani na siyo vinginevyo, !
 
Akojoe akalale huyo kiwete! kama anategemea kuchakachua kama alivyofanya 2010. Safari hii damu itamwagika sana! yeye na chama chake wajiandae kukabidhi nchi kwa amani na siyo vinginevyo, !
 
Hana lolote Mr. Dhaifu anajisemea tu
Kauli hii imetolewa na JK mjini Kigoma wakati wa sherehe za miaka 36 ya CCM....

"Nitahakikisha nina kabidhi nchi kwa mgombea wa CCM na si vinginevyo"!

KAMA RAIS WA NCHI, SALAAM HIZI MAANA YAKE NINI?!!
 
Back
Top Bottom