Tetesi madaktari kuzimua mgomo wao

akili ni nywele, jk ana zake za kwenda kupumzika msoga na kiajuza! pathetic presidar of ol times!
 
Nchi masikini ya pili kutoka chini na bado tunamuda kibao wa kugoma huku tunataka tuendelee, Labda mbingu zishuke ndo bongo itaendelea.

hakuna nchi maskini labda wewe mwenyewe watu wana fedha nje ya nchi zaidi ya bajeti ya serikali ya mwaka usema nchi maskini ,ungesema nchi yenye watu waroho na wabinafsi ningekuelewa.
Tanzania si maskini hata kidogo
 
Ni kweli kuwa mishahara ya wafanyakazi walio wengi ni midogo sana kumudu mahitaji muhimu ya binadamu. Lakini tuangalie chanzo ni nini? how can we move forward? je kulalamika kwenye mitandao is a solution? kwa nini tusiombe jukwaa tukayazungumza wakiwepo watendaji wakuu wa serikali? tujaribu kuangalia njia mbadala ya kurekebisha hali. Mawazo yetu yatasaidia. Lakini kwa halli ya sasa ilivyo ya uchumi mishahara mikubwa haitawezekana na huo ndio ukweli. Ingawaje vitu vinaweza kufanyika mambo yakawa mazuri. PIa tusipende ku generalize issues. Sio wote walioko CCM ni wabaya na sio wote walioko upinzani ni wazuri huo ndio ukweli. Watanzania bado tuna ubinafsi mkubwa na hiyo inachangiwa na sera za nchi yetu.

Uyasemayo ni mema sana ila kwa sasa dada yangu Debora aliwezekani tena maana kama ni mchwa sasa wamezidi hata wale tuliokuwa tunawaamini nao ni wala rushwa wakubwa. tukiendelea kunyamaza tutabaki wakiwa kabisa sasa ni wakati wa kukomaa kwani wanaendelea sasa hata haya mafuta wameanza kuyala kabla hata hatujajua faida yake sisi wananchi vipi kuhusu gesi. Umeona wizara ya nishati na madini kilichotokea unataka tukae wapi hawa bila pressure awaendi nakwambia awaendi bila pressure hawa kila kitu kinawezekana amini usi amini
 
ngoja watu wawachangamshe viongozi labda watatoka kwenye usingizi mnono wakudhani wamekabidhiwa nchi ili wajineemeshe wenyewe huku wananchi wakitesekana,serikali ni kocha timu inaposhindwa kocha na wachezaji wanawajibika walimu wamechoka kutoa vilaza ngoja wadai haki yao nani hasiye taka mazingira mazuri ya kazi na neema angalau akitoka ubaoni kula vumbi la chaki akapate kikombe cha maziwa kuturalize sumu aliyobugia
 
Ni kweli kuwa mishahara ya wafanyakazi walio wengi ni midogo sana kumudu mahitaji muhimu ya binadamu. Lakini tuangalie chanzo ni nini? how can we move forward? je kulalamika kwenye mitandao is a solution? kwa nini tusiombe jukwaa tukayazungumza wakiwepo watendaji wakuu wa serikali? tujaribu kuangalia njia mbadala ya kurekebisha hali. Mawazo yetu yatasaidia. Lakini kwa halli ya sasa ilivyo ya uchumi mishahara mikubwa haitawezekana na huo ndio ukweli. Ingawaje vitu vinaweza kufanyika mambo yakawa mazuri. PIa tusipende ku generalize issues. Sio wote walioko CCM ni wabaya na sio wote walioko upinzani ni wazuri huo ndio ukweli. Watanzania bado tuna ubinafsi mkubwa na hiyo inachangiwa na sera za nchi yetu.
Majukwaa, mikutano na watendaji, kamati huru, havijawahi kusaidia/kufanyiwa kazi toka uhuru. eg. Ripoti ya Warioba na machimbuko ya Rushwa, Ripoti ya kamati ya madini, ripoti ya kuchunguza mishahara ya --- crazy!!!!!!!!! Tugome tu basi.
 
Madaktari ni watu wenye akili timamu,tukumbuke wanagoma kwanza kwa maslahi ya watanzania (Wanaokufa huku madaktari wakiwaangalia kwa huruma kwa ukosefu wa vitendea kazi) pia kwa ajili yao (Mazingira magumu ya kazi na gharama kubwa ya maisha).Serikali zingatieni madai yao (Hata kama nyinyi mwatibiwa ng'ambo)!!
 
utaambiwa hakuna askari wa kutosha wa ulinzi ila wa kupiga mabomu wapo kama siafu,...pia utaambiwa taarifa za kiinteligensia zinaonesha kutakuwepo na alshabab....liwe na liwalop ss...
 
Kuzimua? Ina maana ulikuwa umezimika. Sasa iwapo that is the case, ni kitu gani kilifanya izimike? Ni mabadiliko gani yametokea ya kuufanya uzimuke?
 
Ni kweli kuwa mishahara ya wafanyakazi walio wengi ni midogo sana kumudu mahitaji muhimu ya binadamu. Lakini tuangalie chanzo ni nini? how can we move forward? je kulalamika kwenye mitandao is a solution? kwa nini tusiombe jukwaa tukayazungumza wakiwepo watendaji wakuu wa serikali? tujaribu kuangalia njia mbadala ya kurekebisha hali. Mawazo yetu yatasaidia. Lakini kwa halli ya sasa ilivyo ya uchumi mishahara mikubwa haitawezekana na huo ndio ukweli. Ingawaje vitu vinaweza kufanyika mambo yakawa mazuri. PIa tusipende ku generalize issues. Sio wote walioko CCM ni wabaya na sio wote walioko upinzani ni wazuri huo ndio ukweli. Watanzania bado tuna ubinafsi mkubwa na hiyo inachangiwa na sera za nchi yetu.

Kujadili ni Moja!! Ila mabwe Pande ni Mbili!!!
 
Nchi masikini ya pili kutoka chini na bado tunamuda kibao wa kugoma huku tunataka tuendelee, Labda mbingu zishuke ndo bongo itaendelea.
Ingependeza zaidi kama ungesema hivi;

Nchi masikini ya pili kutoka chini na bado viongozi wanatumia pesa kibao kwenye ziara, posho mishahara mikubwa kwa wanasiasa, badala ya wataalamu wetu na kuwekeza katika elimu na miundombinu huku tunataka tuendelee, Labda mbingu zishuke ndo bongo itaendelea.
 
Wakizimua itakuwa poa tu nitawajoin kwa nguvu zangu zote maana ndio liwalo.
 
Ndio matatizo ya kulazimisha ushindi kwenye chaguzi.Mungu ametupiga kofi watz na hili ni fundisho tusirudie makosa ndugu zangu.
 
Nan kakwambia JK anashida na ninyi waTz jiokoe mwenyewe nchi hii imejaa majogoo ya kuazima! yanapelekwa nje na kuwazalishia wengine tu,,,,

hakuna aliyesema jk ana shida,bt migomo hii c picha nzuri kwa serikali na chama tawala
 
Mwezi huu tumejionea migomo miwili, lakini katika hii tumeuona mgomo wa madaktari na walimu ambao unaendelea sasa.

Tujiulize wanaojiita ma-specialists wameonesha kutokuwa na akili za kutatua masual wanayoyakabili (immaturity of thoughts), kupitia ma-intern madaktari hawa walikuwa wakisema kwamba wao wako nyuma yao na kwamba ukifika muda wa kuwasimamia watafanya hivyo.

Nafahamu, kwa mazingira yalivyo, tanzania ukitaka kufanikiwa basi kuwa mbinafsi, kwani hata wale ambao unawapigania hawajijui kama wanastahili haki hiyo, na wenye nguvu ya kufanya hivi wanaogopa kufanya hivi wakiangalia watakacho poteza.

Leo madaktari wamerudi, Je kuna CT Scan? Je mazingira ya kazi yameboreshwa? stahili zenu nazo? au ulikuwa ulimbukeni kutesa watu bila kuwa na msimamo wa mlichokuwa mnakidai????
 
Back
Top Bottom