Recent content by Doyi

  1. Doyi

    JamiiForums Tanzania Nijifunze nini kwenye AI ambacho kitanisaidia kuongeza kipato au kukuza career yangu?

    Uzi mzuri sana kwa tuliosoma IT/COMPUTER SCIENCE
  2. Doyi

    JamiiForums Tanzania wasomi hatuna haja na mapenzi hatutaki kunajisi heshima yetu.

    Basi linda mgongo wako kijana
  3. Doyi

    JamiiForums Tanzania Kama haya hamyafanyi mara kwa mara ukiwa na mpenzi wako, juwa mahusiano yenu ni ya kuigiza si ya kweli.

    Mara ya mwisho kugombania nyumba hadi kupigana risasi za vichwani lini?😁😁 Au nimevamia mada jamani😂😂😂
  4. Doyi

    JamiiForums Tanzania KERO Nimenyimwa Mafao yangu NSSF

    Anazitoa ila wadau wanamsaidia akisomeka kwa 10 % eti,nchi ngumu sana hii
  5. Doyi

    JamiiForums Tanzania Kwanini shule zinafungwa ovyo ovyo?

    El nino hyooo inakuja
  6. Doyi

    JamiiForums Tanzania Je, unakoroma sana ukilala, na kwamba ndoa yako iko mbioni kuvunjika kutokana na kukoroma huko? Suluhisho lako ni hili hapa 👇

    Mara nyingi ukianza kukoroma unakuwa huna utambuzi wa kujua kinachoendelea sasa unaweza vip kufungua mdomo ili uanze kupumua ?? Sijakuelewa,
  7. Doyi

    JamiiForums Tanzania Conspiracy theory: CIA, Homosexual and AIDs

    Duh,ukweli ni upi sasa??
  8. Doyi

    JamiiForums Tanzania kwa kweli inasikisha sana

    Naishi bunju B na kazini ni kariaokoo,aisee nahisi mda mwingi nautumia barabarani 😭😭🙌
  9. Doyi

    JamiiForums Tanzania Ukiota uko shule ya msingi, secondary au chuo kikuu tafasiri yale haupo kwenye nafasi unayotakiwa kuwepo ambayo ni chanzo cha baraka kwako

    Umenikatisha tamaa,ninaota sana hizo ndoto,nipo serikalini na nipo katika hatua za kuchomolewa ,ila habar yako hujaitendea haki haijashiba taarifa za kutosha,pia epuka kuquote sana biblia,wengine tuna Mungu wetu tunataka tupime maelezo yako kwa muktadha mwingine wa kimaono
  10. Doyi

    JamiiForums Tanzania Kuwa singo ni stori nyingine

    Mtoa mada wewe ni gay?? Mana huo mwandiko wa kiume kabisaa
  11. Doyi

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna msanii mwenye vocals kumzidi Mariah Carey?

    Mwamba hujasikia nyimbo ya babayake diamond inaitwa dudu la yuyuuu,huyo maria wako hafkii🤣🤣🤣🤣
Back
Top Bottom