Naombeni ushauri biashara ya magari ya mchanga 20cbm FAW, HOWO

Naombeni ushauri biashara ya magari ya mchanga 20cbm FAW, HOWO

😀 Hii nimeipenda na kuna sehemu nitakuja kuitumia.

Lakini vipi ikitokea dereva kakupa hela ya hesabu halafu kaenda kufosi akakosa kazi???

Si anaweza kufungua vifaa auze spea?
😂😂 Sijajua wanatumia vigezo gani, ila hii nimeshuhudia kuna kampuni unaacha laki 5 mezani, ndo unatoka na gari.
Nadhani kazi hizi zinaenda kwa uaminifu kama daladala vile, boss unakabidhi gari lakini anajua jioni linarudi salama bila kuibiwa chochote.

Upande wa kutanguliza pesa, inategemea na maeneo, kiufupi kuna maeneo watu wanapiga kazi kila siku, japo kukosa kupo na ukikosa kesho unajazia, huwezi kosa yote.
 
Nikutie moyo ndugu,ninayo mawili, nunua mpya kabisa,@170ml, zero km,
Gari hizi huja kulegea baada ya miaka 3-4.

Mpaka kulegea,huwa imeshajilipa vizuri sana na unakula faida au unaelekeza fedha UTT AMIS.
BAADA YA MIAKA MITANO IUZE 70ML
CHUKUWA MPYA,NDIYO KAZI HII ILIVYO MKUU.TAMU SANA.
Note to forget;- comprehesive insurance ambayo huwa ni 10ml.
Shukran sana mkuu
 
Hesabu ni laki 5 au 6 kwa siku. Changamoto ni madereva,kuna kipindi kazi zinapungua,njia mbovu, ufuatiliaji wa karibu. Gari ukichukua mpya miezi 6 ya mwanzo service ni ndogo za kawaida baada ya hapo andaa bajeti ya dharura muda wowote unaweza pata simu ya spare au marekebisho. Kama una long term plan ajiri mafundi wawili au upate gereji ya kuaminika kwa ajili ya service.
Always uko supportive
 
Watanzania maskin wana mawazo ya kimaskini na wote ni maskini wanazid kuambukizana mawazo ya kimaskin ni hatar sana
Jinsi nilivyoanza:-
Nilikuwa na kajumba pahala fulani mwananyamala,kananipa kodi 200,000/- alhadulilah,akatokea mhitaji,nikaaachia kwa 150ml.,Moja kwa moja nikavuta ndinga mpya,basda ya miezi mitatu tu,nikatoa bangaluu kali sana mpya,allah akajalia nikaongeza chuma ingine, alhadulilah....
(Hii mijumba si biashara kabisa) Mara ugombane na wapangaji,mara wakuloge uwasahau,shida sana.
 
Nitajie biashara yenye faida kubwa ambayo unashauri watu waifanye
inahitaji kamda kidogo ila biashara ya matipa itafaa pale kama hayo matipa pia yana support biashara zako zingine zinazoingiliana na shughuli za tipa, mf kama we ni mkandarasi au unaviwanda vya tofali etc, ila kufanya biashara hiyo iwe inaingiza hela as core bussiness itakataa
 
Nimekuuliza ni biashara ipi unashauri watu waifanye yenye mtaji mkubwa na faida kubwa sana?
 
Biashara nzuri. Nahitaji hata la mkopo. Nipo kwenye sekta hii. Namiliki chimbo. Naomba Wana wanavtotusua.
Kuna mmoja alidiriki kuuza nyumba yake kisha akanunua howo.
Anakimbiza mbaya.
Mwingine mzee mstaafu pesa ya penshen kaitupia huku. Anakaa kushoto siku zote.
Kifupi inalipa sana wewe mwenyewe ukiwemo.
Ukimpatia dereva unalinja 500,000/day.
Ukikomaa na dereva haijalishi umepiga route ngapi unamwachia 50,000.
Kibunda chote chako.
 
Unamachimbo wapi?
 
MI sina ushauri ila we jamaa inaonekana una hela sana
Sometimes kwenye maisha unatakiwa ku scarify!..to lives better! At least!..(uza asset moja worryout) hizo kwa kuzitamka ni nyingi lakini huwa si nyingi kivile!,...
 
inahitaji kamda kidogo ila biashara ya matipa itafaa pale kama hayo matipa pia yana support biashara zako zingine zinazoingiliana na shughuli za tipa, mf kama we ni mkandarasi au unaviwanda vya tofali etc, ila kufanya biashara hiyo iwe inaingiza hela as core bussiness itakataa
Tipper zina kazi kweli wakati huu wa migodi,hata ukipeleka,mchuchuma ni fedha tu.(Mchuchuma -->>bandari ya mtwara)
 
Back
Top Bottom