Recent content by dos santos

  1. D

    Adobe zinagoma ku-Install kwenye LAptop

    Maelekezo aliyotoa Prince Mhando yapo Vizuri sana. Wewe aliyekuambia lazima u upgrade ndio hizo program zitainstall nani? Hizo Adobe zinakubali hata Kwa windows za chini ya 10. Fahamu waTZ wengi hawatumii Windows genuine wala program genuine. Hapo badala ya kutoka msaada unaleta ujuaji na...
  2. D

    Kipi ni Kishwahili fasaha hapa?

    Kaka yake Hakuja Hakula Sijui kama nipo sahihi
  3. D

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Jamaa amependa huu Uzi uendelee Kwa wiki kadhaa licha ya kumaliza kuandika episode zilizobaki. Anakoelekea atakuwa anaweka episode Moja wiki.
  4. D

    Tumpe maua yake Wallace Karia Soka la Tanzania limepiga hatua kubwa sana

    Hana mchango wowote katika maendeleo ya soka TZ.
  5. D

    Siku moja na Prof. Taji Ahmed Muhidin rafiki mkubwa wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Mzee wangu Mohamed Said Naomba uniambie picha hii ilipigwa wapi na mwaka gani na lilikuwa tukio gani. Samahani kwa kuwa nje ya mada
  6. D

    Huwezi na Hutoweza Kuongea / Kuandika Kiswahili fasaha

    Nimefatilia mnakasha tangu mwanzo. Hakika bi FaizaFoxy 'nondo' unazoweka si za kitoto. Darsa zuri sana, tunastafidi mno.
  7. D

    Kikosi cha wachezaji 21 wa Al Ahly kinachokuja Tanzania Dhidi ya Simba

    Sijachanganya mkuu pitia link hii
  8. D

    Kikosi cha wachezaji 21 wa Al Ahly kinachokuja Tanzania Dhidi ya Simba

    Beki kisiki ana miaka 34 sasa. Lakini hatokuwepo, ni majeruhi.
  9. D

    Kikosi cha wachezaji 21 wa Al Ahly kinachokuja Tanzania Dhidi ya Simba

    Kocha wa Al Ahly Martin Lasarte ametaja majina ya kikosi chake cha wachezaji 21 ambacho kimesafirisha usiku huu kuja Tanzania ili kukabiliana na Simba SC katika mechi ya hatua za makundi ya klabu bingwa Afrika itakayopigwa Jumanne tarehe 12. Al Ahly katika mchezo uliopita waliitandika Simba...
  10. D

    Papa Francis akutana na sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum na Mohamed bin Zayed

    Matini yake alhabib tafadhali. Na maneno hayo yalimaanisha hilo usemalo?
  11. D

    Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

    Jana timu yetu kongwe ya Simba na wawakilishi pekee katika michuano ya kimataifa ya klabu bingwa Afrika walipokea kipigo cha magoli 5-0 kutoka kwa Al Ahly ya Misri. Kipigo hiki kimekuja siku chache baada ya kipigo kingine cha idadi hiyo hiyo ya 5-0 kutoka AS Vita ya DR Congo. Kipigo kutoka kwa...
  12. D

    Zinaa katika uislamu....

    Alhabiby Sheikh Abuu Dharr[ Mwenyezi Mungu akulipe kheri wewe na Ustaadh chige Maalim Safuha na wengine wengi walioweka ukweli na kuondosha uongo uliokuwa unawekwa kwa makusudi na makafiri. Alhabiby hakika umeutendea haki muda wako kwa kutuelimisha na Alhamdulillah nimestafidi sana na darsa...
  13. D

    Mwinyi Zahera amkataa Kakolanya Yanga

    Kocha wa timu ya Yanga Mwinyi Zahera amemkataa kipa Beno Kakolanya na kwamba ameruhusu aendfe timu nyingine na si Yanga. Akizungumza na Yanga TV Zahera amesema wale waliomwambia aache kufanya mazoezi wamtafutie timu kabla ya dirisha la usajili kufungwa ila kwa Yanga haiwezekani tena. Kama...
Back
Top Bottom