Recent content by Dornatero

  1. Dornatero

    Mapokezi ya Nyerere huko Uingereza

    Africa is one, but not number 1. Angalia speech ya Mzee wetu Nyerere na Mzee Madiba. They speak what they know and not what they have been told. At last they moved as true brothers wamesokotana pamoja kwa uzee wao. Let them be fathers, they deserve so. May them wapumzike kwa amani.
  2. Dornatero

    "mi napenda lap top nyie hamtakii"

    Nmeskia kuna mdau anataka kutugawia laptop 😹nimefurahiiiiii 🙌 Huku kijijini si unajua hawajaleta umemeee ngoja laptop zijeeee tutaangalia muviii weeeeeeeeee usiku kucha. Kesho yake tunaenda wilayani kucharge battery ya laptop. Wenzetu wa mjini watafaidi kudownload miziki ya...
  3. Dornatero

    Gazeti la Uhuru: Vijana waliomsindikiza Lowasa kuchukua fomu jana ni VIBAKA

    Kutokana na taarifa ya Mh. Chikawe na ile ya makamanda wa polisi, muhariri wa Gazeti la uhuru ajitafakari yaye na maslahi mazima ya Chama chake anachokipenda
  4. Dornatero

    Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

    Usiumize kichwa, hao ndio chama cha wasanii Tanzania. Na nembo yao iko kama ile ya ccm. Tafuta kadi ya mwaliko utaona.
  5. Dornatero

    Gazeti la Uhuru: Vijana waliomsindikiza Lowasa kuchukua fomu jana ni VIBAKA

    Ni kitambo sana gazeti dada la chama Cha Mapinduzi limekua likinanga Harakati za vyama pinzani. Yote tisa kumi ni ripoti zilizomo kwa gazeti hili tar 11/08/2015 siku moja baada ya MTETEMO WA UKAWA JIJINI DAR. "Ati Kundi la vibaka latikisa Ukawa. " hao vibaka mliwaona wapi, hizo fedha...
  6. Dornatero

    TeamLowassa hatuna chetu Ikulu!

    i am here giving you my word. ''Any person, aje from any side, and with any style. Mwaka huu tunakata mzizi wa fitna. If you want to get in consideration with this look n this facts. Wao wenyewe wanavyoumbuana . OOHH, Huyu mwizi, Mara yule mpole , sijui ni huyu mtoto hajui anachokisema , Mara...
  7. Dornatero

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Muandalieni UENYEKITI huyo ili adumu, mkimchelewesha anaanza kununa, kuringa na kuwasemelea kwa BABA. Anapenda ukubwa huyooo ,au kwakuwa ni mtoto pekee wa mama hajawai kuwa mkubwa? Nadhani UKAWA watapumua kumbeba "MZITO MKABE " ilikua kaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  8. Dornatero

    Makamanda Wvua Magwanda

    Let them go, Wanafki , Walevi wa madaraka na wazandiki wa majina yao nyuma ya damu ya wapenda haki hawatadumu. Watarukaruka kuutafuta ulevi wao na katu hawataridhika. Tupa kule mmoja baada ya mwingine. Walikuja kwa njiaa moja ila wataondoka kwa njia saba tofauti, WATAFUKUZWA, WATAJITOA...
  9. Dornatero

    Chid Benz: Watanzania Niombeeni leo Mahakamani

    We chidi kichwa cha benzi hivi ni kweli akili yako iko kwa dereva wa benzi? Uliwaza nini kwenda na hiyo kitu pale au ulijifananisha na rais wa china? Nakuombea adhabu inayolingana na kesi yako! Over!!!
  10. Dornatero

    UKAWA wanyaka nyaraka juu ya Mpango wa kifisadi wa kupitisha Katiba Inayopendekezwa

    Wakati mwingine lazma tuache ushabiki usio na tija kwa vyama vya siasa na majigambo ya kutetea vyama vyetu. Swala la msingi hapa ni kumuomba Mh.Lema evidence na wewe ikiwa unajua kua yeye Mh. Lema ametafuna hizo pesa za jimbo just upload the document tujadiliane! Tuache ushabiki please!
  11. Dornatero

    Kiongozi bora na bora kiongozi utatambu katika haya machache.

    KIONGOZI BORA 1. Msimamizi na mtetezi wa maslahi ya UMMA anaouongoza. 2. Msimamo wa kutetea,kutekeleza na kufanikisha wajibu alioajiriwa kwa huo. 3. Hashinikizi mambo yote mema ayaone kwa macho yake au kuyafaidi katika uhai wake. 4. Hasadiki katika uongozi na utawala wa kurithi au kukasimishwa...
  12. Dornatero

    Majimbo ambayo CCM hawana chao 2015

    Tuheshimiane sanaa . Jimbo hili ni la SUMBAWANGA MJINI, huyo mliyemtaja katika namba 1. amejipenyeza kwa muda sasa, bungeni bubu jimboni kipofu na kitaifa kiziwI. hata iwe uchaguzi KESHOOOOO HATUMUPIIIIIIIIIII
  13. Dornatero

    hili ni tatizo ganii

    wapendwa kwa muda wa mwaka mmoja sasa nasumbuliwa na aina flani ya vipele kama vile vya baridi katika mikono yangu ,ktk jua na baridi vipoo. Nimejaribu kutumia medicated soaps and jelly mara kadhaa. Nikitumia dawa vinapotea nikiacha tu haizidi wiki hivyooo. Haviumi wala haviwashi ila...
  14. Dornatero

    Tathmini yangu kwa mwelekeo wa elimu ya tanzania.

    Habari watanzania wenzangu. Ni majuzi tu Wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi ilitoa matokeo ya kidato cha nne. Sipendi kurudia tkwim zake mana zinachefua. Tathmini yangu ni juu ya wapi tulitoka, wapi tulipo na wapi tunaelekea. Nachochukkizwa nacho mimi ni tathmini ya matokeo na majibu...
  15. Dornatero

    Hatuko wavivu acheni historia

    akwenda kinyume na mitazamo hasi ya wavivu wengi nchini wasemao ati watanzania tu wavivu. Nadhani udahili wa ajira ndio wa kivivu kwa vile hawataznini unacho kichwani bali nani unamfahamu humo ndani. Tukipewa natasi tunaweza sie ndio asili ya busara za kiafrika na hekma ya kuzaliwa. Narudia tena...
Back
Top Bottom