Prince Tumbo
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 910
- 247
Mh supika...teh..teh...na Ndugai...
Jimbo la Makongoro(Segerea) hata wakiweka mti utashinda.
Ole medeye pia hapiti. Tulichemsha kwani tumechagua mbunge wa dar badala ya Arumeru magharibi.
jimbo la lukuvi kama chadema wanataka kulibeba mwaka 2015 wafanye operesheni ya nguvu. Wananchi wana tamani sana kuwaona viongozi wa chadema kama zitto,dr slaa na hata tundu lissu! Chadema wakikosa jimbo la lukuvi ni kwa uzembe wao tu!Kwa Lukuvi napinga kabisa lazima Arudi bungeni msijifariji na maneno ya Chiku. Chiku hata akigombea udiwani kule hapiti
Sipendi kuona watu wanaoleta ngonjera humu kwa therad zisizo na uchambuzi mzuri na kutetea hoja,haya nini kimekufanya useme kuwa haya majimbo ccm watayaacha?Haya ni baadhi ya majimbo ambayo ccm wataya kabidhi upinzani
1.jimbo la Aeshi.
2.jimbo la wassira
3.jimbo la mkulo
4.Jimbo la magufuli
5.Jimbo la kafumu
6.jimbo la mkuchika
7.jimbo la makinda
8.jimbo la Lukuvi
9.jimbo la Ndugayi
10.jimbo la Nkamia
mengine unaweza kuongeza.................!
Sipendi kuona watu wanaoleta ngonjera humu kwa therad zisizo na uchambuzi mzuri na kutetea hoja,haya nini kimekufanya useme kuwa haya majimbo ccm watayaacha?
Rudi ufananue ili mjadili kwa hoja sio kurusha mawe humu halafu unakimbia kusikojulikana

Haya ni baadhi ya majimbo ambayo ccm wataya kabidhi upinzani
1.jimbo la Aeshi.
2.jimbo la wassira
3.jimbo la mkulo
4.Jimbo la magufuli
5.Jimbo la kafumu
6.jimbo la mkuchika
7.jimbo la makinda
8.jimbo la Lukuvi
9.jimbo la Ndugayi
10.jimbo la Nkamia
mengine unaweza kuongeza.................!
Mwakyembe,lema,zungu,mnyika,mtemvu na cheyo.
this must be naive from a totally confused. Yani unawaza uchaguzi tu, hopeless
this must be naive from a totally confused. Yani unawaza uchaguzi tu, hopeless