Hatuko wavivu acheni historia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatuko wavivu acheni historia

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Dornatero, Apr 9, 2012.

 1. Dornatero

  Dornatero Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  akwenda kinyume na mitazamo hasi ya wavivu wengi nchini wasemao ati watanzania tu wavivu. Nadhani udahili wa ajira ndio wa kivivu kwa vile hawataznini unacho kichwani bali nani unamfahamu humo ndani. Tukipewa natasi tunaweza sie ndio asili ya busara za kiafrika na hekma ya kuzaliwa.
  Narudia tena sie si wavivu, tupeni nafasi.
   
Loading...