Recent content by DOOKY

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safari ya Manyara kutafuta mtoto mzuri mweupe imetimia

    Naskia huko ni noma sana! Dah safari njema
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaoa mke mwenye mtoto: kizaaza

    Mi sijamwelewa kabisa
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Hela za matunzo ya mtoto wanakula na mwanaume mwingine

    Kweli kabisa! Lengo ni kuchukua mtoto wako si umempata ya nini na huyo binti! Mwache aendelee na bwana ake! Huna ndugu wa kuwasaidia? Wafungulie miradi ndugu zako watakuzika na kukuombea badala ya huyo Aliyekuwa anaumiza moyo wako
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Dada wa kazi akimweleza mume wangu siri hii, sina ndoa tena

    We na wewe huna akili! Umeolewa nilidhani unakuja na wazo la kuacha huo upuuzi! Tulia na ndoa yako! Ukifa leo tuseme Mungu akuweke mahala pema?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Kawawa ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari - Maelezo

    Ha ha utaula tu! Nakumbuka depo ya Polisi lazima usande ha ha
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wenye shahada wasilipwe mshahara?

    Anasema yeye ni kichwa boksi why unamuuliza swali la aina hiyo? Hamna kitu kichwani huyo
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hela za matunzo ya mtoto wanakula na mwanaume mwingine

    Akili Akili hana huyu jamaa unalia lia tu Chukua mtoto wake ondoka
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mimba za kuzimu

    Mkuu Yesu alienda kuomba mlimani. Maandiko yanasema alienda kukesha mlimani kumwomba Mungu usiku kucha. Mara zote Kristo alienda kuomba Mlimani badala ya nyumba za Ibada.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ruangwa mkoani Lindi umeme ni jipu kubwa

    Siyo maeneo hayo tu hata Kibiti! Bungu pia
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nape: Hakuna kukata rufaa mara mgombea atakapokatwa

    Siyo kweli! Kama Msekwa ana nafasi hiyo na Mangula ni ndani CCM?
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mauzauza ya usiku, nitamuua huyu mama

    Sawa maombi! Maombi unaombaje! Unadhani maoimbi yote Mungu anayasikia! Jitakase kwanza dhambi zako then uombe Mungu kupitia YESU KRISTO. Kinyume na hapo ndugu hakuna dawa,
  12. D

    JamiiForums Tanzania yaliyonikuta baada ya kupokea namba 555

    QUOTE=Mgoda simtwange;12211524]tatizo unaamini bila kuona. Umepokea simu, ukasikia sauti ya kike inasema hapa ni tigo customer care basi wewe tayari unakubali kirahisi tu. Una uhakika gani zaidi ya kusikia sauti tu? kama wewe umepokea imekula kwako mkuu. pole sana. usitafute support kwa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania yaliyonikuta baada ya kupokea namba 555

    Wiki hii siku ya Jumanne majira ya saa 10 usiku, nilipigiwa simu kwa namba ya 555! Sikuipokea baada ya kuangalia muda wa simu ile uliopigwa. Nikapata wasiwasi mkubwa nitamwomba Mungu sa usiku ule.mchana wa siku iliyofuata sikuwa na amani. Lakini jana usiku nilipigiwa tena muda ule ule...
Back
Top Bottom